Phone4Sale Nauza Tecno Phantom 8 Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana

Marnah

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,124
301
Hi Wapendwa nauza simu aina ya Tecno Phantom 8
Specification zake RAM-6GB Internal memory 64GB
MaH-3500

Iko kwenye good condition sijawahi ipeleka kwa fundi na haina tatizo lolote lile imetumiwa na mm mwenyewe Mwanamke, kama mnavyojua Wanawake hua tuko vizuri kwenye utunzaji.

Camera: Camera yake iko vizuri sana Camera ya mbele na Camera ya nyuma zote ziko vizuri.


N.B. Kutokana na Wizi, Uporaji, Utekaji na Matukio Kua mengi pamoja na Report nyingi za Mauaji Mteja au Mnunuzi tutaenda kuandikishiana Police ili mteja awe huru na apate amani juu ya anachokinunua.

Ata ukitaka call loags za mwezi mzima utapata.

Bei Laki 4 mwisho Laki 3 na hamsini Elfu za KiTanzania.

Sababu ya Kuiuza:
Nimepatwa na Dharula na sina Alternative nyingine zaidi ya kuiuza.

Eneo la Muuzaji:
Niko Dar-es-Salaam

Kwa mteja alie serious naomba ni Inbox kukupa no ya simu

Ahsanteni sana.

Tuendelee kuishi kwa kujilinda na kuchukua tahadhari.

IMG-20210714-WA0005.jpg


IMG-20210714-WA0004.jpg


IMG-20210714-WA0006.jpg


IMG-20210714-WA0002.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom