nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

    Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani. Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka...
  2. O

    Njia nzuri ya kupata mafanikio

    Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya na ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya pia ukitenda mazuri leo kesho yako hakika itakuwa nzuri yakupendeza na yenye kufurahisha kwa kila mwenye macho na maskio. Hivyo...
  3. H

    Hospital gani nzuri nitapata dermatologist hapa Dar

    Ndugu habarini? Naomba kuuliza kwa hapa Dar Hospital gani nzuri nitapata dermatologist.
  4. Kiaka

    Utambuzi pombe aina ya spirit nzuri kuliko nyingine

    Hivi unawezaje kutambua pombe Aina ya spirit nzuri kuliko zingine?
  5. GEM mama

    Natafuta shule nzuri ya Nursery kwa Mbeya

    Natafuta shule nzuri ya Nursery kwa Mbeya.
  6. Marjo Mlekwa

    SoC01 Sanaa ni njia nzuri ya kutatua tatizo la ajira, Tusipuuze

    HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA? 'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi nguvu, kinywa kinazidi kupata mapengo kila uchwao' Leo nakukaribisha uone muundo halisi wa Kinywa hiki...
  7. T

    Katiba nzuri katika nchi za Afrika haina au ina msaada mdogo sana wa kuleta ustawi wa wananchi

    Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa kidemokrasia. Jambo lingine limetokea kule Kenya siku chache zilizopita ambapo Rais wa nchi hiyo aliongoza...
  8. M

    Phone4Sale Nauza Tecno Phantom 8 Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana

    Hi Wapendwa nauza simu aina ya Tecno Phantom 8 Specification zake RAM-6GB Internal memory 64GB MaH-3500 Iko kwenye good condition sijawahi ipeleka kwa fundi na haina tatizo lolote lile imetumiwa na mm mwenyewe Mwanamke, kama mnavyojua Wanawake hua tuko vizuri kwenye utunzaji. Camera: Camera...
  9. Charles Gerald

    Msaada wa generator nzuri kwa umwagiliaji bustani

    Habari jf; Nina mpango wa kununua genereta. Ninaomba ushauri wa generator nzuri kwa ajili ya umwagiliaji bustanini (nyanya).
  10. mama D

    Shades of Magufuli - Kazi nzuri toka kwa kijana Mzalendo

    Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
  11. rakeyescarl

    Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  12. Woga tupa kulee

    Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  13. mitindo huru

    Computer4Sale Computer CPU inauzwa kwa bei nzuri

    Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800. CPU bado ipo katika hali nzuri, niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya kuanguka. Ukinunua CPU nakupa Keyboard, mouse na cable zake zote bure. Bei ni laki mbili tu. CPU ipo...
  14. GENTAMYCINE

    Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

    ANGALIZO Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
  15. fatherhood

    Vijana video za X sio njia nzuri ya kujifunzia mapenzi

    Habari JF; Leo nataka niongee na vijana wenzangu wa jinsia zote, kuhusu video za porn maarufu kama XXX. Vijana wengi wanatumia video za X kama njia ya kujifunza jinsi kufanya mapenzi na staili mbali mbali . Kwanini kijana hutakiwi kutumia video za X kama njia ya kujifunzia mapenzi? 1...
  16. Darucha

    Napatwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa kasi pindi ninavyolala au kuamka kwa haraka

    Kuna Hali imenikuta ambayo nashindwa kuelewa ni ugonjwa gani au kama kuna mtu amewahi kukutana na aina hii ya ugonjwa aniambie. Yaani napigwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa Kasi pindi ninavyolala na ninavyoamka haraka sometimes nataka nianguke kabisa. Kama mtu anaweza kunishauri...
  17. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

    Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
  18. chiembe

    Kwakuwa alituvusha salama kutoka Awamu ya Tano, nashauri daraja la Tanzanite liitwe Samia

    Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili. Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
  19. FUTURE HUNTER

    Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

    Salaam wakuu, Naombeni ushauri ninune gari gani kwa milioni 6. Nahitaji gari yenye fuel efficiency nzuri, space ya kutosha hasa mbele (mimi mrefu) pamoja na upatatikanaji spare. Nitashukuru pia kama mtapendekeza kwa gharama hiyo napata namba ipi? NB: Hii ni ya kununua kwa mtu.
  20. T 2021 SSH

    Wapi nitapata nguo nzuri za mitumba kwa Mwanza

    Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia naogopa kupata lonya ipo 250k Naomba msaada kwa wajuzi?
Back
Top Bottom