Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

Gan star

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
380
980
Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila naamini ubora unapishana somehow.
Chief-Mkwawa , Mwl.RCT

Natanguliza shukrani
 
Wakuu nahitaji kununua smu brand ya iPhone , kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera , mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri Kwa picha na hata video , Kwa wale waliowahi kutumia hzi simu ipi ipo Bora zaidi Kati ya hzo nilizozitaja ... Japo naona zote MP 12 Ila naamini ubora unapishana somehow ....

Natanguliza shukrani

11 promax
 
Formula ya kuchagua iPhone ndogo sana sio kama simu za Android.

The latest the better.

Sema ikija issue ya value for money ndio utata unapokuja mfano kwann uchukue XS kwa bei kubwa wakati ni sawa na X kabisa.

Au kwanini uchukue XR kwa bei kubwa wakati ni downgrade ya X?

Ila kwa izo chukua iPhone 11 kama budget sio tatizo.

PS: Nimefuata masharti yako ya kutaka iPhone tu na ni izo ulizotaja..

Ukitaka alternative fuata ushauri wa wadau wengine hapo juu.
 
Chukua iPhone 11 kwa sababu hizi
1. Una muda mrefu wa kupata updates
2.ina latest hardware
 
Tafuta XIAOMI MI 12 ULTRA

Tafuta samsung A13 CAMERA UMEME Samhani lakini

achana nazo hizo tafuta google pixel 4 hakuna anae makamata hapo
Nashukru Kwa michango yenu , Samsung nishatumia , na MI nishatumia , japo siyo matoleo hayo , labda hyo Google pixel ndo bado , Iko hv Mimi matumizi ya camera na video ni makubwa Sana , shughuli zangu zinahtaji matumizi makubwa ya camera , tatizo la brand zingine hzo Wana camera nzuri lakini zinawah ku_flop , yaani ukiiitumia sana non stop inaanza kutoa picha vibaya , mpak itulie tena ,

Unapopiga picha inatoka vizur , Ila ukiifanyia editing inakuwa blurred, na ukipost inapungua ubora , ...
Naona iPhone wako vzur , picha zina mng'ao fulan hv, somehow ubora unakuwa maintained
 
Formula ya kuchagua iPhone ndogo sana sio kama simu za Android.

The latest the better.

Sema ikija issue ya value for money ndio utata unapokuja mfano kwann uchukue XS kwa bei kubwa wakati ni sawa na X kabisa.

Au kwanini uchukue XR kwa bei kubwa wakati ni downgrade ya X?

Ila kwa izo chukua iPhone 11 kama budget sio tatizo.

PS: Nimefuata masharti yako ya kutaka iPhone tu na ni izo ulizotaja..

Ukitaka alternative fuata ushauri wa wadau wengine hapo juu.
Nitaangalia iPhone 11
 
Nashukru Kwa michango yenu , Samsung nishatumia , na MI nishatumia , japo siyo matoleo hayo , labda hyo Google pixel ndo bado , Iko hv Mimi matumizi ya camera na video ni makubwa Sana , shughuli zangu zinahtaji matumizi makubwa ya camera , tatizo la brand zingine hzo Wana camera nzuri lakini zinawah ku_flop , yaani ukiiitumia sana non stop inaanza kutoa picha vibaya , mpak itulie tena ,

Unapopiga picha inatoka vizur , Ila ukiifanyia editing inakuwa blurred, na ukipost inapungua ubora , ...
Naona iPhone wako vzur , picha zina mng'ao fulan hv, somehow ubora unakuwa maintained
Kwa haraka haraka kwa budget yako ya hizo iPhone old model upande wa camera hazita fikia midrange za xiaomi, ila kwa kua umesema umeshatumia MI products, shauri yako mkuu, kanunue hizo sim jera
 
Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila naamini ubora unapishana somehow.
Chief-Mkwawa , Mwl.RCT

Natanguliza shukrani
Iphone 11 ni nzuri zaidi kwenye hizo.

Ila umeandika iphone SE, kuna SE inatoka karibuni itakuwa na umbo la iphone 11 na processor ya kisasa zaidi,
 
Nashukru Kwa michango yenu , Samsung nishatumia , na MI nishatumia , japo siyo matoleo hayo , labda hyo Google pixel ndo bado , Iko hv Mimi matumizi ya camera na video ni makubwa Sana , shughuli zangu zinahtaji matumizi makubwa ya camera , tatizo la brand zingine hzo Wana camera nzuri lakini zinawah ku_flop , yaani ukiiitumia sana non stop inaanza kutoa picha vibaya , mpak itulie tena ,

Unapopiga picha inatoka vizur , Ila ukiifanyia editing inakuwa blurred, na ukipost inapungua ubora , ...
Naona iPhone wako vzur , picha zina mng'ao fulan hv, somehow ubora unakuwa maintained
Unless unatumia program inayo compress picha kama whatsapp na ifananiavyo, au unatumia modes zinazo blur kama portrait mode ngumu kwa simu za sasa kutoa blur pic hasa flagship.

Pia kama upo serious sana shoot na raw malizia editing kwenye pc.
 
Back
Top Bottom