Sidhani kama Kuna Mtanzania aliezidiwa na Maisha Rais wetu anafanya kazi nzuri

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,327
8,243
Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini?

Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini?

Miundombinu imeboreshwa mtu anaweza kusafirisha bidhaa zake hata kwa kutumia baiskeli, oneni maisha yalivyo Rahisi.

Tunalipa Kodi na zinakwenda kwenye miradi ya Maendeleo.

Nauli za mabasi zinapanda kutokana na bei ya Mafuta kuwa juu. Lakini hakuna Mtanzania anaekwenda safari au kumsalimia ndugu yake kwa kutembea kwa miguu huwa tunatumia mabasi Tena Alfajiri tunajazana kwenye vituo vya mabasi.

Ndugu zangu tupunguzeni chuki na unafiki juu ya Serikali yetu ya awamu ya sita, tuweni wakweli kwamba awamu ya 6 ipo vizuri na tusipindishe ukweli.

Mengineyo:
Gesi ni nishati safi, kujiunga na teknolojia yetu ya kupima gesi ya kupikia kuanzia ELFU MOJA piga +255747744895.
 
Unawaambia watu kwamba wana maisha mazuri ?
Sio kwamba wao ndio wakwambie ?

Hii ni nini ?
Privatization of our Brains ? (Let Someone think for You) ?
 
Mfumuko wa bei ni kilio cha Dunia sasa hivi

8.8 percent
Global inflation is forecast to rise from 4.7 percent in 2021 to 8.8 percent in 2022 but to decline to 6.5 percent in 2023 and to 4.1 percent by 2024.11 Oct 2022

Source: Oxford
 
Hii ndo tofauti ya Tanzania na nchi nyingine Duniani bila kuwa MNAFIKI au BWEGE huwezi kuingia kwenye siasa.

Stay away from the Gadem cheap politics
 
1668869781995.png
 
Back
Top Bottom