Nipeni location nzuri ya kulala kwa Tarime Mjini

CIA mgumu

JF-Expert Member
Aug 8, 2022
963
1,923
Wakuu, habarini za Jioni humu ndani.

Nipo njiani kulekea Tarime mjini naomba kupewa msaada wa hotel nzuri ya kupumzikia kwa budget ya Tsh.100,000/=kushuka chini yenye manthari mazuri ila kusiwe na bar humo ndani na palipotulia sana, now nipo maeneo ya nyumbani kwao na Kichele hapa.

Kukiwa na chakula cha kupikwa humo humo itakuwa nzuri zaidi
 
Mkuu kwa hiyo choice kalale hostel za Sabato huko kuna msitu ulio tulia na ngedere pori wapo bei 10000per night no breakfast

Nice place...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom