nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni nzuri inayoaminika inayotoa huduma za hosting, domain na cloud server hapa Bongo

    Nalileta kwenu wataalam, Hivi kuna kampuni gani nzuri inayotoa huduma ya hosting hapa bongo, mana nataka kuhama kwa mtoa huduma wa sasa aliyeko nje, kwakuwa nilipata tabu wakati wa kurenew malipo kipindi hiki kutokana na sheria za TCRA za kutaka malipo yote ya nje yaambatanishwe na mkataba wa...
  2. JamiiForums Tanzania Lodge nzuri inauzwa Goba, njia panda ya Tegeta A kwa niaba ya benki

    LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara Umiliki: Mkataba Wa Mauziano Ukubwa Wa Eneo: SQM 810 Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A" Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road Maji...
  3. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  4. JamiiForums Tanzania Gari za umeme mtupu ni nzuri ila kwa africa zitusubiri kwanza mpaka tutakapo zikifikia gari za mafuta za mwaka 2026 zikawa kitonga.

    Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu. Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari . Hizi barabara zetu nikama unachezea pesa.
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ipi nzuri ya nguo au home decoration kwa Kahama

    Hello wapendwa Nataka nihamie Kahama sasa nataka kujua kama Biashara gani iko poa kwa Kahama Mimi nina uzoefu wa nguo za kike na watoto ndio nayoifanya kwa sasa hapa Dar es Salaam ila sasa malengo yangu sio kuuza nguo ni kuuza home decor na vitu vidogovidogo vya matumizi ya nyumbani sijajua...
  6. JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba msaada ya Hospital nzuri ya meno Dodoma

    Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu. Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine. Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu
  8. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya wazi ni dhana nzuri?

    Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine! Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Ruge Mutahaba angekuwa hai basi Civilian-Coin angepata promotion nzuri ya nyimbo zake.

    https://youtu.be/BIVfUcyhhyc?si=cfesf42mJiog8DvH https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=8UOmuc6ldnXQXvqa
  10. JamiiForums Tanzania Tungo nzuri za fasihi ya Kiswahili

    MAHABA YASIYOKOMA. Mimi binafsi huwa ni mpenzi wa tungo mbalimbali za sanaa ya kiswahili. Tangu utotoni, nimekuwa nikipendelea sana kusoma vitabu na machapisho mbalimbali yaliyoletwa nyumbani ama na mzee wangu au kaka na dada zangu walionitangulia kufika shule. Mpaka sasa nawezasema, nimesoma...
  11. JamiiForums Tanzania Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

    Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa Kuna wakina mama wa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi future ya Tanzania ni nzuri kweli?

    Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira, umasikini nk The way tunavyo handle hivi vitu kama taifa, mnaiona Tanzania ya miaka ijayo ikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe Buza ni sehemu nzuri namna hii

    Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba recommendation ya model nzuri ya laptop ya mtumba ndani ya 800K–1M

    Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis. Napendelea zaidi brand za Dell au HP, zikikosekana naweza pia kuangalia Lenovo. Sina sababu ya kitaalamu sana kuchagua...
  18. JamiiForums Tanzania LG Oled vs Samsung Neo Qled. Ipi nzuri zaidi?

    Wakuu naomba mnisaidie ushauri nataka kununua TV inch 55 ya kudumu nayo muda mrefu. Sasa kati ya LG Oled android processor vs Samsung Neo Qled android processor. Ipi itanifaa zaidi na reasons kama itawezekana. Asante
  19. JamiiForums Tanzania Nisaidieni brand ya syrup nzuri ya kikohozi kikavu

    Nimepata kikohozi pale mafua yalpoisha. Nisaidieni wakuu.
  20. JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kula bata Igunga (Tabora)

    Habarini ndugu. Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natanguliza shukran.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…