nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Mdada wa kazi za nyumbani

    Habari zenu wanajukwaa . Direct kwenye maada bila kuwachosha. Ni nahitaji Mdada Wa kazi za ndani. Nyumba haina mototo mdogo. Yaani mdogo kabisa yuko fomu kwani. Kazi ni za kawaida za nyumbani. Ina baba, mama, watoto wapo watatu, mkubwa yupo chuo, anayemfuata yupo kidato cha tano. Nahitaji...
  2. Kuchoma mchomo nyumbani kula na familia, wageni na marafiki

    Mbuzi ni mnyama anaeliwa na madhehebu ya dini nyingi, ni rahisi kununua mbuzi wa kula na familia kuliko ng’ombe, kwanza gharama pili mnaweza kula na kumaliza. Andaa samaki kidogo kwa wasio kula nyama. Andaa bakuli la kachum Acha moto ukolee wote kabla ya kuweka nyama jikoni. Nyama ya mbuzi...
  3. Kwa mahitaji ya garden nzuri nyumbani na maofisini

    Tutafute TRUE GARDEN DESIGNERS kwa namba hizi hapa..0687239674 na 0717580898 tunapatikana masaa 24.
  4. Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

    Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5 Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata kinywa tukafungulie pale na jioni tukifungie pale pale. Waswahili wanasema mtu hakatai wito. Sister ana...
  5. Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

    Tundu Lissu akihojiwa na redio Ujerumani DW anasema amepata simu za kutishiwa amani na ameamua kujificha kwenye makazi ya Balozi wa Ujerumani Anasema maisha yake yako hatarini na anajipanga kuondoka na kurudi Ubeligiji Tundu ni mwanasheria na very treak man tujihadhari naye sana =========...
  6. Geita: Amsababishia mwenzake kifo wakati akimtoa mimba nyumbani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamshikilia Vestina Michael (44), mkazi wa Buseresere wilayani Chato kwa tuhuma za kumtoa mimba na kumsababisha kifo Mariam Msalaba (40), ambaye alipoteza maisha muda mfupi baada ya kutolewa mimba nyumbani kwa mtuhumiwa. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita...
  7. GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi. Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia...
  8. Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
  9. GE2020 Dkt. Magufuli: Hamasishaneni mkapige kura kesho. Ukimaliza rudi nyumbani ili kuitunza tunu ya amani na mshikamano tulionao

    RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
  10. J

    Kitendo cha Tundu Lissu kulala nyumbani kwa mwalimu Nyerere bila kwenda nyumbani kwa mzee Mtei siyo cha kiungwana

    Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka. Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia. Simlaumu Tundu...
  11. Diaspora changeni pesa mfanye kitu kikubwa nyumbani

    Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall. Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi. Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua...
  12. Q

    GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  13. Qatar: Asilimia 85 ya wafanyakazi wa nyumbani wanadhalishwa

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadam Amnesty International limetoa taarifa, wafanyakazi wa nyumbani nchini Qatar wanapitia unyanyasaji, kupigwa na kudhalilishwa na mazingira magumu ya kazi. Baada ya kufanya mahojiano na wanawake 105, shirika hilo limebaini asilimia 85 ya wanawake...
  14. Japo ni Mwana Simba 'kindakindaki' ila 'navutiwa' mno na Timu yangu ya Nyumbani kabisa Biashara United ya Mkoani Mara (Musoma)

    "Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa nyumbani mpaka sasa" Mchambuzi David Kampista' EastAfricaTV GENTAMYCINE nami nitoe Kongole ( Pongezi )...
  15. Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 ajinyonga baada ya kukatazwa na Mama yake asirudi nyumbani usiku

    Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 wiki iliyopita katika shule ya msingi Njungwa, Kijiji cha Ngayaki wilayani Gairo, Rahel Yohana (14), amekutwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kanga huku chanzo kikitajwa ni ugomvi kati yake na mama yake mzazi aliyekuwa akimkataza kurudi nyumbani usiku...
  16. GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA). Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
  17. Tukubali tukatae Mwanaume kukosa utawala wa kiuchumi nyumbani heshima ya MUME hupungua kama sio kutoweka kabisa

    Iwe ni kwa wale wa kipato cha juu kati au cha chini...yaani kama Mke anatengeneza shilingi mia tano kwa siku na wewe Bw Mkubwa ni apeche alolo, ni ngumu sana kuwa na ndoa imara ya Mume na Mke wanaosikilizana na kuheshimiana. Huenda kwa nje mtafanikiwa kutuonesha kana kwamba ndoa yenu ipo imara...
  18. Y

    Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  19. GE2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…