nyumba

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kibaha Vijijini kubomolewa nyumba zao, Mbunge asema anapeleka mashtaka kwa Waziri Mkuu

    Baadhi ya Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani wamelalamika uamuzi wa kubomolewa kwa nyumba zao pasipokuwa na taarifa huku wakidai kutokuwa na tamko rasmi la taarifa kutoka kwenye mamlaka. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamedai zoezi hilo limefanyika Februari 5, 2023 na kutarajiwa...
  2. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya biashara kwenye eneo lililochangamka Dar es Salaam

    Natafuta nyumba ya biashara ya kununua iwe chini ya 50mil Kama ni lodge, Ya kupangisha/apartment, Fremu, Iwe DSM eneo lililochangamka Weka biashara hadharani Maswala ya kutaka namba za simu siyo nzuri kama hujaweka hadharani Nyumba picha, maelezo ya muhimu weka na namba yako ya simu
  3. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Magomeni ndugu zangu mmeokota dodo!

    Nimesikia ndugu zetu wapangaji wa nyumba za Magomeni wanamuomba Mh. wauziwe nyumba zile kwa Tsh 17M? Kweli? Serikali imesema itawauzia kwa Tsh 48M (chumba na sebule) na 56 + (kwa nyumba kubwa), na hii inalipwa kwa muda wa miaka 15. Piga mahesabu yako vizuri kwa huyu atakaye lipa 56+...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara auawa kwa risasi nje ya nyumba yake

    Kamanda wa Polisi wa Thika, Daniel Kinyua, amethibitisha kifo cha mfanyabiashara wa Magali James Mwangi (47) kilichotokea baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulika nje ya nyumba yake maeneo ya Kimathi. Wauaji hao waliokuwa karibu sana na sehemu alipo walifyatua risasi mbili ambapo moja...
  5. B4g3g3

    JamiiForums Tanzania Thermal expansion noise ya nyumba imepitiliza viwango nini nifanye?

    Habari, Nyumba imeezekwa takriban mwaka sasa, bati Gauge 28 ya Alaf, Tatizo ni kelele za bati pindi jua libapowaka na usiku likipoa ( thermal expansion noise). Nashindwa kuelewa, tatizo ni fundi au material ya bati lenyewe au ndo jua ni kali? Nini naweza kufanya?
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mazoezi ya matembezi nje ya nyumba yana faida kuliko ya ndani

    Watafiti wa Vyuo Vikuu vya Victoria na York vya Canada wamebaini kuwa mazoezi hayo yanafaida kubwa katika Afya ya Akili kuliko kufanya mazoezi ya aina hiyohiyo ya ndani. Aidha, utafiti huo umebaini kuwa mazoezi hayo pia yana faida kifiziki ambapo waliohusika katika sehemu ya utafiti huo ambao...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mirathi ya nyumba iliyojengwa na mjane yazua balaa; ukoo wa mume na ukoo wa mke wanaigombania

    Habari wadau. Kama mnavyojua suala la mirathi linavyotolewa macho hapa Tanzania. Jirani kwetu kuna mama amefariki na kuacha nyumba nzuri tu na hajaacha mtoto hata mmoja. Historia ya huyu mama (kabila mpogoro) mwaka 1991 aliolewa kwa ndoa ya kanisani na mume wake (kabila mchaga) Baada ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

    Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
  9. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  10. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

    Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye hekima uijenga nyumba yake

    Methali 14:1-18 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake. Bila...
  12. Tarimofundiumeme

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

    -Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia. ◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
  13. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  14. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Maajabu niliyoyafanya kwenye nyumba Madale

    Nyumba hii tunafumua bati tunapiga kozi moja baadae tunaezeka kisasa fundi alipiga bati kizamani sisi kazi yetu hapa kufanya maajabu ukitaka kazi zetu Tumeokoka tunapiga kazi safi hatuna shida na mtu picha za kazi hii utaziona kwenye comments nitazituma zote
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaofuga Paka jitahidini basi kuwafundisha Adabu kidogo pale Nyumba zenu zikitembelewa na Sisi Wageni

    Kwanza niwe muwazi ( nikiri ) kuwa GENTAMYCINE napenda sana Paka na ninae Mmoja namfuga na ukitaka Ugombane nami mguse ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa hauna Kolabo. Hata hivyo sipendi Paka ambao Wanafugwa na wenye Nyumba ila hawana Adabu pindi Nyumba husika ikitembelewa...
  16. Zogolo1550

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  17. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Nitaanzia hapa endapo nitakosa fedha za kununulia nyumba ya kupangisha mwaka 2023

    Ili niweze kujenga utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo ninatakiwa kujihusisha na;- ✓ Umiliki wa ardhi na majengo. ✓ Au Utoaji wa huduma za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Njia ya kutengeneza kipato cha haraka na kipato endelevu nikiwa umelala ni kumiliki ardhi za kukodisha au...
  18. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Unazuiaje konokono na wadudu wasioeleweka kwenye kuta za nyumba pavement etc

    Wanachafua ukuta tu. Tuwafanyeje? Binafsi nimeamua nimewapiga picha na kuwapost hadharani waaibike sasa😒. Sio dawa? Dawa yao nn.....
  19. Somaiyo

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

    Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,! Maji na umeme vipo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki zilizoongoza kwa kutoa mikopo ya Nyumba na Makazi Tanzania 2022

    1. CRDB- Bilioni 193 2. Stanbic- Bilioni 41 3. Azania - Bilioni 36 4. NMB - Bilioni 34 5. NCBA - Bilioni 23 6. TCB - Bilioni 21 7. Exim- Bilioni 20.6 8. 1st Housing*-Bilioni 16.2 9. KCB- 15B 10. DCB- 13.8B THE CHANZO/ BoT
Back
Top Bottom