Steve Nyerere kasema kwa sasa CCM Hainunui TENA wapinzani

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Kada marufu n ategemeo tena genius ndani ya ccm bwana steve mengele katoa kali ya mwaka,soma mwenyewe uone,eti sasa hivi hawanunui tena wapinzani ina maana mashinji hajapewa hata ka sh kumi?madalali kina mzee kijana watakubali kweli?maana mradi mnono ule ati?

Yaani hata madiwani wa mbeye hawajapewa chochote hata ka milioni 50 kila mmoja?huyo meya wa chadema huko Iringa aliyekataa milioni 200 za gabachori si ndo jumatatu anafanyiwa style ya isaya mwita ikiwezekana mumfanyie na mabaya zaidi au kama alivyosema REO wa hapo iringa kwamba wapewe hata KESI ZA UBAKAJI AU UHUJUMU UCHUMI kama mboya wa kilimanjaro?
CCM mpya ya awamu ya tano ya mabavu chuki utengano na ma uongo
Screen Shot 2020-02-28 at 5.49.09 PM.png
 
Back
Top Bottom