technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba msaada ili kuwasaidia Watanzania na alifanikiwa
Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Ukiangalia kwa jicho la tatu huenda corona haitaua watu sana lakini itasababisha mtikisiko wa kiuchumi kwa watanzania wengine washaanza kupoteza ajira wengine mfano walimu wa private school mishahara yao imesimama je serikali inajua ni wananchi kiasi gani wameshapoteza kipato na jinsi ya kuwasaidia?
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.