Uchaguzi 2020 Hii tabia ya Lissu kutumia maandiko ya Mwl. Nyerere kuhusu maendeleo ya vitu ni unafiki na upotoshaji

Mkara-tu

JF-Expert Member
Mar 31, 2018
224
221
Sina hakika kama unafiki na upotoshaji wa ukweli kwa wanasiasa ni kitu cha kawaida, lakini inakera zaidi wakati upotoshaji na unafiki huo unapo kithiri na kuvuka mpaka.

Iko on record kwamba huko nyumba Tindu Lissu amekuwa ni mkosoaji mkubwa wa Baba wa Taifa kiasi cha kumwita dictator, mnyanyasaji, n.k. Ghafla sasa hivi Mwl. Nyerere amekuwa hero wa Lisu kwa kunukuu bila aibu baadhi ya maandiko ya Mwl kuhusu maendeleo ya vitu vs Maendeleo ya Watu.

Watanzania wenye akili hawashangazwi tena na matusi, kejeli au vijembe vya Lisu kwa viongozi wakuu wa nchi, hasa CCM. Of course sasa hivi amezidi kwa sababu anajua ana kinga na ufadhiri wa akina Amsterdam na Wabelgiji. Unfortunately, anatumia ukosaji wa taarifa na elimu kwa baadhi ya watanzania kupotasha umma katika hoja yake ya kukosoa maendeleo ya vitu vs maendeleo ta watu.

Kwa mfano: Ni kweli Ethiopia sana train ya umeme ya SGR kwa muda mrefu sasa; ni kweli Ethiopia wanajenga bwawa la umeme kubwa kuliko yote africa.

Na kwa sababu za kiuchumi sasa hivi nchi za jirani na Ethiopia wapo kwenye mgogoro mkubwa na Ethiopia kwa ugomvi wa kuoneana wivu tu unaochochewa na marekani.

Ni kweli Ethiopian Airways ndo shirika kubwa la ndege barani Africa. Lakini siyo kweli kwamba wimbi kubwa la wa Ethiopia wanaokimbia nchi yao ni sababu za umasikini. Anadanganya watu tu. Huwezi kufananisha mazingira ya kisiasa, kijamii na kiuchumi wa Ethiopia na Tanzania.

Labda hajui kwamba saa hizi anaporopoka Ethiopia kuna vita vya kikabila iliyo dumu for decades. Kabila la waoromo kusini mwa Ethiopia technically wako vitani na makabila ya kaskazini miaka yote. Miezi miwili tu iliyopita wameuawa waoromo zaidi ya 80 kwenye mapigano hayo.

Hiyo ndiyo sababu kubwa ya waethiopia kukimbia nchi yao na siyo vinginevyo. Labda ni vizuri aelewe pia kuwa hata baadhi ya wamarekani wanakimbilia Canada and vice versa.

Kwa hiyo uhamiaji kutoka sehemu ya dunia kwenda sehemu nyingine ni sehemu ya mienendo ya kijamii. Lakini amekalia kupotosha watu, na kwa vile sisi ni wavivu kufuatilia na kuchambua maandiko na taarifa za kidunia tunabwajaja kumshangilia Lissu eti mkombozi. Huyu ni sellout tu. Ndugu zangu amkeni na jiongezeni. Huyu mtu anakera.
 
Mleta mada huu mwaka hautaishia kukasirika tu bali hata nywele zitakupunyuka bila kunyolewa na kama una manyoya mwaka huu yatapunyuliwa na Jembe Lissu kaa mkao kupanuliliwa
 
Kosa liko wapi JPM si mlimwita ni Nyerere wa pili?
 
Ethiopian airline + SGR + blue Nile HEP =wakimbizi wa hali duni ya maisha
Tz tutaanza na cc soon maana humu ndani ajira hamna na biashara zimekufa kifo cha mende

"Naomba mjadala huru wa wagombea wa uraisi"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom