Mwl. Nyerere: Utii ukizidi huzaa uoga na uoga ukizidi huzaa unafiki na unafiki ukizidi huzaa kujipendekeza

Jelavic

Senior Member
Dec 28, 2016
180
380
Maneo haya ya mwalimu Nyerere ni summary ya baadhi ya wanasiasa katika awamu ya tano.

Kutii kupita kiasi, kiasi cha kuogopa kukosoa, kusifia sana kupita kiasi kama vile hakuna mapungufu na kujipendekeza kuliko pita kiasi kama vile wako mbele ya mungu na sio mwanadamu.

 
Mwalimu alikuwa anaona Mbali sana.

Alisema kwa Katiba hii ya mwaka 1977 ilikuwa inanipa uhuru wa kuwa Dikteta.

Leo tunamuona Dicteta akikandamiza uhuru wa Vyombo vya Habari.
 
Back
Top Bottom