Mara mbili katika matukio muhimu nchini, Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa ushauri ambao huenda tumeanza kuusahau.
Moja ni pale alipowashauri wa Tz kuukubali mfumo wa vyama vingi vya kisiasa - alisema, pamoja na kwamba waliokataa ni wengi, lakini hawa wachache wana umuhimu wake la sivyo tutabweteka...