Kwa 'Uchawi' unaofanyika ambao ni wa 'Kufuru' Wajukuu wa Hayati Mandela watajuta kuwafahamu Wajukuu wa Hayati Nyerere kwa Mkapa Kesho

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,257
2,000
Kuna Watu niliambiwa kuwa wakilitaka lao wanajua kulipata kwa 'Kuroga' vibaya tena kwa 'Kufuru' kabisa nikawa siamini, ila kwa nilichokiona na Kukisikia kuna Mtu aliwacheka Watu Kidharau akiwa ' Benchini ' huenda Kesho akanuna na hata Kulia hadi Kuzimia na hata Kufa pia.

Wewe zitengwe Milioni 30 za Kukusanya Waganga wakubwa nchini na Kumpandisha Mbung'o (Ndege) Mganga mkubwa wa TP Mazembe anayezijulia vyema Timu za Afrika Kusini na 'anayeogopwa' nao sana halafu utoke kwa Mkapa?

Ngoja nianze Kujiandaa ili Jioni leo 'nikakeshe' zangu Temeke kwa Mkapa kwani nimeambiwa kunaenda Kufanyika Jambo ambalo Mwenyezi Mungu atusamehe tu kwakuwa ni ' Kufuru ' Kubwa ili baada ya Kufuzu tutaenda Kumpigia Magoti ya Kumuomba Msamaha Makanisani na Misikitini.

Kiuchawi Wajukuu wa Hayati Nyerere tumeshapita, ila Kiufundi mwisho wetu umeishia rasmi Afrika Kusini Wiki Moja iliyopita na Wajukuu wa Hayati Mandela wamefuzu.

Halafu Wewe Mlinzi Mmoja wa hapo kwa Mkapa Uwanjani mwenye Jina linaloanzia na Herufi ' S ' mwenye Mahaba na Timu Adui kwa ichezayo Kesho acha huo ' Unoko ' na tulia Watu wafanye yao kwani Mafanikio ya Kesho si tu Klabu hiyo bali ni ya Tanzania na Watanzania. Endelea kujifanya Mfanyakazi bora hapo Uwanjani ' Wakuue ' kabisa kwa ' Majini ' yanayoenda Kutupwa hapo kuanzia Saa 12 Jioni ya leo.

Raha ya Kesho ni 'Vimbwanga' vya Nje.
 

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,039
2,000
Al Ahly amekuja Tanzania mara tatu kucheza na Simba. Amekufa mara zote hajaambulia hata droo. 2-1 1-0 1-0 kimfuatano. Ahly wa kupiga ontarget moja dkk 90?

Viongozi wanajitoa kutafuta ushindi nje na ndani,sie mashabiki tumetulia tulii.

Superstition is real in football. Hata Ulaya. Ingawaje sio kila siku mambo yanaenda kama ilivyopangwa
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,257
2,000
Alipangalo Mungu hakuna pimbi yeyote anayeweza kulipangua...hata wakaroge kuzimu..kama simba imepangwa kushinda itashinda na kama ilapangwa kupigwa itapigwa..."Usiku wa deni hauchelewi kukucha" muda utaongea.....
Mkuu kwa ' Uchawi ' uliofanyika, unaofanyika na utakaofanyika Kesho ( hasa pale Uwanjani ) kwa Mkapa hawa Wazulu wawe makini, wajiangalie kwani wanaweza hata Kufungwa Goli 6 hadi 7.

Huyo Mtaalam ( Mganga ) wa TP Mazembe anachokifanya sasa eneo Moja la Mikocheni alilowekwa Kesho Wajukuu wa Hayati Mandela na Waafrika Kusini wanaweza wasiamini na kile wanachoenda Kukutana nacho.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,257
2,000
Al Ahly amekuja Tanzania mara tatu kucheza na Simba. Amekufa mara zote hajaambulia hata droo. 2-1 1-0 1-0 kimfuatano. Ahly wa kupiga ontarget moja dkk 90?

Viongozi wanajitoa kutafuta ushindi nje na ndani,sie mashabiki tumetulia tulii.

Superstition is real in football. Hata Ulaya. Ingawaje sio kila siku mambo yanaenda kama ilivyopangwa
Mkuu huyu Mtaalam ( Mganga ) wa Congo DR wa TP Mazembe ' Vitu ' anavyovifanya eneo la Siri Mikocheni lililo Jirani pia na Bahari ya Hindi kuna Watu Kesho watafungwa Goli 6 au 7 kwani ni ' Kufuru ' tupu tu
 

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,039
2,000
Mkuu huyu Mtaalam ( Mganga ) wa Congo DR wa TP Mazembe ' Vitu ' anavyovifanya eneo la Siri Mikocheni lililo Jirani pia na Bahari ya Hindi kuna Watu Kesho watafungwa Goli 6 au 7 kwani ni ' Kufuru ' tupu tu
Mkuu kesho tusubiri kusikia mashabiki wawili chali?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom