n.k

  1. Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  2. N

    Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  3. Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  4. "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  5. Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

    Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu. misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
  6. T

    Wataalam, kwanini mnadhani kila kitu kinabadilika na kuwa ghali? Ni kuupiga tafu uchumi unaokufa?

    Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo...
  7. Wakuu tumeni project ya uhasibu kama vile template za bank reconciliation n.k

    Wana jf habari za muda huu Tumeni project za kiuhasibu kama template za kuandaa bank reconciliation, cash book, payment voucher, etc yaani yoyote tuone Kali ni ipi?
  8. Wapi nitapata orodha ya taasisi zote, mamlaka zote, Asasi za Kiraia, Non profit Organizations na Vyama mbalimbali?

    Habari za maisha wakuu, Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia. Nimechungulia kayika tovuti kuu ya serikali lakini naona inapwaya information ilizonazo hazijitoshelezi ofisi...
  9. B

    Dkt. Samizi aendelea na ziara Jimboni, achangia ujenzi wa vyoo, chumba cha kujifungulia kinamama n.k

    DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
  10. Wapo wanawake wanaotongoza wanaume na bado ni waaminifu ukiachana na vicheche wanaojigonga kwa pesa/umaarufu?

    katika kuelezea hisia za mapenzi, sio lazima kila siku mwanaume tuu ndio awe mwanzilishi wa kusema hisia zake kwa mwanawake, kuna kipindi mwanamke anaweza kufunguka. achana na vicheche kadhaa vinavyokomalia watu vyenye mapenzi ya mikwanja, majina na umaarufu ambavyo ukiwa chata tu vinajigonga...
  11. Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
  12. Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

    BRIGHTING AND GENIUS EDITORS TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: Business Proposal/Plan Katiba za Vikundi Cover Letter na CV/Resume Website Content Barua za Wadhamini Study Plan na Statement of Purpose Personal Statement Mikataba LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: 9. Thesis...
  13. S

    Laana ya vifaranga: Tutarajie mapigo kama mafuriko, ukame, njaa, tetemeko, n.k kama sio wahusika wenyewe kupata pigo la moja kwa moja

    Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja. Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
  14. Ajenda za ufeminia, mapenzi ya jinsia moja, kulazimisha uwepo wa watu weusi, kumenipunguzia hamu ya kuangalia filamu/tamthilia za kisasa za Marekani

    Feminism – hawa feminists ajenda yao ni kutumia nguvu kubwa kuproove kwamba wanawake wapo sawa na wanaume na wanawake inabidi wapewe kipaumbele, huko Hollywood ndio wameona iwe sehemu ya kupush ajenda zao. Mfano kwenye muvi ya Wakanda kutoka Marvels iliyotuwakilisha vema waafrika wameona ndio...
  15. Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

    Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
  16. Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

    Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia. Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa...
  17. Kama Katiba haijasema kuwa ajira ni haki ya kila kijana vijana muikatae kwa nguvu zote

    Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi. Vijana wengi hawana...
  18. T

    AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

    Amani iwe nanyi. Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao. Niipongeze kampuni ya Azam Media katika...
  19. Natengeneza vipeperushi ,business card , social media post , product label na ishu nying za maswala ya graphics designing ikijumuksha mabango n.k

    Naitwa sharifu mussa, ni graphics designer wa Ot Technology, karibuni sana wateja kupata huduma mbali mbali za graphics designing ikiwemo label za bidhaa , business card, mabango ,. Gharama zetu ni stahiki sana na kazi zenye ubora. Wasiliana nasi. +255 620 155 490 Follow us Ot technology tz
  20. INAUZWA GPS trackers za Vyombo vya moto, TV, Computer, n.k. Zinauzwa

    Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k.. Zina sifa zifuatazo. 1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako. 2. Ina Live location na live tracking. 3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa. 4. Inahifandhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…