njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Njia bora zaidi za kupunguza uzito 3-4 kg kwa mwezi kwa njia ya lishe

    LISHE BORA KWA AFYA Fuata maelekezo haya ili uweze kujua aina za vyakula ili kuboresha afya yako. 1. Ulaji wa mboga za majani na matunda mbalimbali ambayo yana rangi tofauti tofauti. Hii husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali ambayo ni sugu kwa hiyo fanya ulaji wa matunda kuwa sehemu ya mlo wako...
  2. Je, Simba SC inaweza kujenga uwanja kwa njia ya kuchangishana?

    Tangu jana mwekezaji wa Simba alipopost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa amesikia kilio cha mashabiki wa Simba cha kutaka klabu yao iwe na uwanja wake wa kuchezea mechi za nyumbani na kuahidi kuchangia bilioni 2 kumeibuka mijadala kwenye redio na mitandao ya kijamii,kama ilivyo...
  3. N

    Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

    Wataalam Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia michoro yenu nk ni kazi rahisi zaidi kama imewezekana kuzalisha mwanamke kwa kisu? Badala ya sijui...
  4. M

    Ukitumiwa mzigo/percel KWA njia ya posts economy je utakufikia?

    Msaada. Ukitumiwa mzigo ama percel kwa njia ya posta economy kutoka nje ya nchi je utaupata?
  5. INAUZWA Nauza juice dispenser njia tatu

    Nauza juice dispenser njia tatu.. ipo vizuri inatumia umeme mdogo sana.. unaweza weka juice ata siku sita ikawa inazunguka bila kuharibika. Pia inatoa ubaridi ule ule wa juice ya kwenye fridge. Nzuri kwa restaurant, hotelini hata pick na pay. Bei rahisi kabisa Bei: 580,000 Location: Kimara...
  6. Njia rahisi ya kupata mpenzi wa maisha

    Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:- Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu' Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu' Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na...
  7. L

    Miradi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja yabadilisha taswira ya Kenya

    Na Kelly Ogome Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, mataifa ya Afrika Mashariki yameshuhudia mabadiliko makubwa katika uchumi na miundombinu. Haya ni kulingana na ripoti ya tathmini ya miradi ya Ukanda Mmoja,Njia Moja(BRI) iliyotolewa na Taasisi ya Sera ya Africa API. Kenya ni miongoni mwa...
  8. Njia panda ya Rais Samia

    Ni dhahiri kuwa Uraisi sio kazi ndogo mara kadhaa Rais Samia amenukuliwa akiongea kwa upole na unyenyekevu(sijui kama unatoka moyoni) katika medani za kisiasa. Mara ya mwisho aliwaasa wateule wake kuchapa kazi na kuwa hatatumia nguvu kuwasukuma bali atatumia wino kuwanyoosha(akili). Katika...
  9. Yeyote yule na kwa njia zozote zile atakayekuwa tayari kuiondoa CCM ya sasa madarakani aungwe mkono

    Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi! Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya...
  10. Njia ya kibabe kukomesha fitna na majungu

    Katika harakati za kutafuta mkate kumekuwa na fitina nyingi na majungu miongoni mwetu. Sasa katika biashara zangu nikapata bro ambaye kila ikitika jioni anapiga simu kuwasema wenzake mabaya. Nilimvumilia mara ya kwanza tu,mara ya pili nimemuunga conference call (mkutano) na mtu aliyekuwa...
  11. Udhalilishaji wa Watoto kwa njia ya maneno

    Udhalilishaji kwa njia ya maneno unatokea pale ambapo Mzazi/Mlezi au Mtu aliye karibu na Mtoto anapotumia maneno yenye kumuumiza Mtoto Kihisia kwa nia ya kumuonya au kumdhibiti Baadhi ya maneno yanayoweza kumdhalilisha Mtoto kwa kumuumiza hisia zake ni; Kumkemea au kumkaripia mbele ya hadhara...
  12. K

    Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kutoka China kwa njia ya meli kupitia silence ocean au kampuni yoyote

    Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
  13. Njia za kujiepusha na mapenzi haramu

    Mapenzi haramu ni jambo baya kiafya na hata kiimani. Tukifanya mapenzi kulingana na utaratibu uliowekwa wa kibinadamu basi kuna faida nyingi ikiwemo. Kupata watoto na kujenga familia jambo ambalo ni baraka. Zipo baadhi ya njia za kujiepusha na mapenzi haramu/mapenzi yanayofanyika pasipo...
  14. Taifa Stars kuondolewa kwenye njia ya kwenda Qatar ni baraka toka kwa Mungu

    Haya niambie!!! Taifa stars kwa ku fluke ikawa hiyooo hadi Qatar. Hebu tuseme ukweli ingekuwaje? Taifa lengepata aibu inayoweza kuuangusha chini hata mlima wa Kilimanjaro. Timu hii ya akina Samatta na Kibu ingemwaibisha Waziri mkuu na kila mtu nchini. Kilichoipata Zaire 1974 ambacho dunia...
  15. January Makamba akiweza kutatua tatizo la umeme nchini atakuwa amejisafishia njia

    Hivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika. Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba huyu kijana hatokubali kushindwa kuzitatua hizi changamoto. Sababu kubwa ni kwamba yeye anajua fika...
  16. Wamachinga wa Msimbazi Kariakoo wanatandika bidhaa chini kwenye njia ya waenda kwa miguu

    Kwamba fujo zooote zile, halafu hakuna kilichobadilika, utaahira wa wapi huu? Mtu unashindwaje kusimamia ulichokianzisha?
  17. Njia pekee na ya msingi ya kudhibiti plastiki ni kuhimiza au kuunga mkono viwanda vya kurejeleza taka za plastiki

    Ni dhahiri ya kuwa kwa sasa Dunia inashuhudia vilio kila kona juu ya kero na balaa linalosababishwa na taka za plastiki. Na kama ilivyo kwingine Nchi yetu nayo haijanusurika na janga hili, kila Mtu mzima anashuhudia hatua mbaya tuliyofikia ikisababishwa na taka hizi za plastiki. Ni vyema sasa...
  18. Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

    Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka...
  19. Manispaaa wekeni lami njia ya makaburi ya Ununio tusifukue makaburi

    Kwa ambaye ameenda Aprili akienda leo atashangaa makaburi ya Ununio yalivyoongezeka mji umepanu Kinondoni inasubiri sana yamepangika kwa heshima ukiwaza sana unaweza omba ubakie huko Kuna njia ya kuingilia makaburini opposite na Kanisa la Lutherani tunaomba Manispaa wekeni lami ile njia...
  20. Njia ya asili ya kusafisha sinki

    Wakuu heshima kwenu? Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu njia ya asili ya kusafisha masink, yaan kung'arisha masinki bila kutumia dawa za kemikali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…