Caroline Nassoro
Mwaka 2013 rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mwezi Septemba mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China, akiwa nchini Kazakhstan, alitoa mpango wa ujenzi wa ukanda wa kiuchumi wa "Njia ya Hariri", na mwezi Oktoba mwaka huo huo, akiwa nchini...
Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri ila sina mtaji? Haya ni maswali ambayo wengi wetu tunajiuliza sana kwenye harakati zetu za kila siku kwenye kutafuta maisha. Kuna njia ambazo tunaweza kuzitumia kupata mitaji ya kuanzisha biashara.
1. Akiba binafsi
Kuna msemo wa kiswahili unasema "Akiba...
Habari wakuu!
Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta
Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu
maana...
Natengeneza system kwaajili ya final project. Nahitaji kuweka njia ya kulipa ambayo watanzania wengi wanatumia. Kwahiyo nikafikiria mobile money.
Lakini nimeangalia API documentations zao zipo kama zimeandikwa na robot, kasoro m-pesa wenyewe afadhali, tatizo C2B single payment inahitaji uwe na...
Wadada wenye uchumba sugu.
Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana.
Njia rahisi inayoweza kukusaidia, mwanaume wako afanye maamuzi ya haraka katika kukuoa, fanya hivi:-
Andaa bajeti ndogo ya laki mbili...
NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -*
( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE)
Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5)
BEI ELEEZI NI 120M (million 120 za kitanzania) "Ila mazungumzo ya kina yapo..Karibu...
Jamani habari zenu wadau?
Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza? Naombeni Masada. Magwiji wa kuwithdraw/kutoa pesa kutoka kwenye account zao za forex hadi Benki/...
Wanabodi,
Japo Tanzania tunaagiza mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, kwa uagizaji wa pamoja, yaani Bulky Procurement, lakini ubora wa mafuta hayo haufanani, mafuta ya TotalEnergies ndio mafuta bora zaidi, kutokana na kuongezwa kiambata kiitwacho excellium, kinachoyafanya mafuta yao...
Hello bosses.......
Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema,
Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya watoto mliozaa kukosa malezi ya wazazi wawili.
Je, tufanyaje Watoto hawa tuwaleeje ikiwa wapo na...
Kudumu kwa mahusiano kunategemeana na juhudi za pande zote mbili (mwanamke na mwanaume); na iwapo upande mmoja utalemaa, kuna uwezekano mkubwa kwa mahusiano kuvunjika. Baadhi ya juhudi wanazotumia:-
Wapo wanaotumia fedha
Wapo wanaokuwa wapole ili mahusiano yadumu
Wapo wanaojiongezea mapambo ili...
Habari,
Wanajamii naomba msaada wenu wa njia nzuri ya uhakika ya kupokea pesa kutoka Marekani ukiachana na PayPal, Western Union au World Remit.
Msaada wakuu
Habari wakuu.
Naombeni njia ya kweli ambayo siyo scam ya kuingiza $2 online kwa siku.
Isiwe blogging na apps, forex, kubet, cryptocurrency na referral invite networking. sizitaki hizi njia kwasababu:
-Blogging na apps sina uzoefu nayo na sijasomea IT,
-Forex kuijua inabidi uache shughuli...
Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
UTANGULIZI
Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:-
Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa
Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima
Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake
Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako
Mzazi mwenzako kuwa na...
Zipo njia kuu mbili za kuzuia bei ya mafuta isipande sana ndani ya nchi.
1. Kuchukua mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ndogo na kuhifadhiwa, mafuta hayo unayaingiza sokoni na kuyauza kwa bei za kawaida. Hichi ndicho wamefanya US. Kwa Tanzania hili ni haliwezekani hatuna kawaida ya kuhifadhi mafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.