nimeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Nimeshindwa kesi ya jamaa aliyezikwa kwenye site ya kaburi langu

    Baba yangu mzazi alihamia Dar es salaan mwaka 1968, akiwa kijana, Tangu miaka hiyo mpaka anazeeka alienda kwao nara chache sana,niseme tu hakupapenda kwao,maana hakujenga hata slope kule kijijini. Siku zote alikuwa akisema akifa azikwe hukuhuku mjini,manispaa ya ubungo kuanzia kimara mpaka...
  2. Bonsipele69

    Baby nimeshindwa kulala niko nakuwaza

    Kwa wakati huu niko mpweke nimejiegesha kichwa hakisomi kabisa nimejikuta namiss kuona sms ya baby nimeshindwa kulala nakuwaza ama nyinginezo kama hizo.....daah upweke unaumaa(in voice of mama ndege sjui nan yule wa junior jumbo)
  3. Scared

    Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

    Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo...
  4. Zee la madawa

    Nyie Viongozi wa Tanga nimeshindwa kukaa na wananchi wenu? Enyi watu wa Tanga kudanga sio kazi ebu fanyeni kazi Bwana

    Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na kuonekana ni dini ya watu wasiopenda kufanya kazi kumbe Hapana ni watu tu wenyewe aisee Tanga...
  5. Trubarg

    Nimeshindwa kulipa kodi (VAT) kisa sijapanga fremu

    Nimeshangaa Sana kukosa huduma ya TRA (KULIPA KODI) kisa sijapanga fremu. Dunia ya Sasa haihitaji watu kuwa na fremu au kuwa ofisini ndiyo wafanye biashara. Kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza fanyika online vzuri Tu bila hata kupanga fremu. Kuna haja ya TRA kuja na mawazo mbadala, online...
  6. Chizi Maarifa

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda...
  7. LIKUD

    Huyu jamaa kuwauliza wakristu na waislamu swali ambalo Mimi nimeshindwa kulijibu

    Naomba mnisaidie kujibu hoja hii tafadhali.
  8. Bata Boy Official

    Narudi kijijini kulima, maisha ya kwenye jiji la Dar nimeshindwa, nimekubalii🙌🏽

    Wakuu natumai mko poa kabisa Mimi ni kijana ambaye nimeamua kuwa muwazi kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani. Jiji la Dar es Salaam limenishinda, Nimekubali na sitaki tena maisha ya jiji lolote. Sina degree, diploma wala cheti chochote, pesa yote niliyokuwa najichanga mwisho wa siku...
  9. P

    Vijana siku hizi sijui wamekuaje? Nimeshindwa kuelewa na uvivu au ni nini? Yaani wanataka kulelewa

    Eti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani? Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani Anakuuliza tena kwako au kwenu? Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako, basi ataanza nataka kuja kukusalimia ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani...
  10. C

    Sijaona faida yoyote kuacha pombe, nataka niendelee kunywa

    Wakuu, Kuna muda nilisitisha pombe ila sijaona faida yoyote. Jana nimekunywa kreti nzima ya bia naona niko vizuri. Naona mambo ya kuacha pombe nipige chini.Ndo naanza tena upya hapa, kama unataka nicheki nikutumie hela unywe ka kreti na wewe
  11. Kipenzi Changu

    Kilichotokea Singida FG nimeshindwa kukiweka Kihasibu

    Singida Fountain Gate FC ipo nafasi ya sita na alama zake 16 baada ya michezo 16! Mwendelezo wake umekuwa si mzuri inawezekana hii ni baada ya kuondeokewa na nyota wake kadhaa waliojiunga na Ihefu wakati wa dirisha dogo la usajili. Kumekuwa na story nyingi kuhusu uendeshwaji wa Singida Fountain...
  12. Stroke

    Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  13. monotheist

    Nimeshindwa kununua TV ninayoihitaji Kariakoo

    Wiki iliyopita nilienda kkoo kwa lengo la kununua tv hasa hisense smart 43 inch na nilizunguka maduka mengi ya pale kkoo ila na huwa napenda kuuliza maswali ya kutosha kabla sijanunua bidhaa husika lakini majibu niliyokutana nayo kutoka kwa wauzaji yanashangaza. Kutokana na maswali niliyokuwa...
  14. Mr George Francis

    Nimeshindwa kukusaidia leo usinichukie, kesho yetu ni fumbo

    NIMESHINDWA KUKUSAIDIA LEO USINICHUKIE, KESHO YETU NI FUMBO. Based On True Story Miaka kadhaa iliyopita, rafiki yangu wa miaka mingi alipata ajali mbaya sana. Ilibidi afanyiwe operation ili kuokoa maisha yake. Nikiwa kama rafiki yake wa karibu, alinipigia simu kuniomba nimtumie kiasi fulani...
  15. S

    Sio mpenzi wangu lakini kaninunia sababu nimeshindwa kumkopesha pesa

    Kuna binti mmoja nilipata kujuana nae baada ya kukutana kwenye kazi ya muda ambayo tuliifanya kwa muda wa miezi 6. Baada ya ile kazi kuisha kila mtu aliendelea na harakati zake zingine lakini bado tulikuwa tutawasiliana mara mojamoja. Kuna siku alinitumia link ya group la ajira lakini...
  16. Crocodiletooth

    Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  17. comte

    Nimesoma nimerudia kusoma na kusoma ila nimeshindwa kuielewa hii habari ya US Dola na mafuta

    Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni (Sh1.9 trilioni) kwa ajili ya kufuta malipo ya bidhaa za petroli zilizoingizwa nchini kati ya Machi na...
  18. KENZY

    Akina dada heshima ni kitu cha bure!

    Kwa nilivyokereka hakuna salamu hapa! Baada ya kumfatilia kwa wiki kadhaa akaingia line, toto fulani hivi nyeupe ndefu yenye kiuno nyigu, tunasema figure ya kimataifa. Figure ambayo hata tozo unalipia na chenchi inabaki! Anamidomo yakuumana,shingo yenye vimistari vya utamu utamu, kifuani...
  19. Dcxkobe

    Nimeshindwa nicheze game lipi

    Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n Bora kuzd yote
  20. Chizi Maarifa

    Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

    Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar. Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa...
Back
Top Bottom