nimeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dcxkobe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa nicheze game lipi

    Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n Bora kuzd yote
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

    Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar. Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa...
  3. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kabisa kuacha kamari wenzangu mliwezaje?

    Ninapozungumzia kamari siyo hii mikeka ya jero. Nazungumzia spin and win, Trukey, Russian and European roulette, poker, black jack, Barrancas wheel of fortune nk, hizi unacheza na dealers yaani ni kugongwa tu. Kuna movie zinaitwa 👉God of gamblers 1, 2 , 3 weonesha uhuni wote unaofanywa na...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mzalendo sana. Ila katika hili mimi nimeshindwa kabisa

    Mimi Mzalendo sana tu. Ila ukiniambia nivae nguo yenye mirangi ya bendera yetu ntakukatalia mpaka mwisho. Bendera yetu ina mirangi mibaya. Haipendezi kwenye tai wala jersey. Kwenye tai labda iwe tu Blue au Nyeusi pekee. Lakini eti univalishe li tshirt,tai au bendera yenye ile mirangi...
  5. Peril22

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, naomba msaada wenu jinsi ya kuachana na mzazi mwenzangu

    Habarini za asubuhi waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapa HESHIMA ya pekee wale wote mlioko kwenye ndoa. Turudi kwenye mada, Nimebahatika kupata mtoto na sasa ana miezi miwili, lakini vitimbi ninavyokutana navyo kwakweli nimeshindwa kuvumilia. Ombi langu kwenu ni hili, nahitaji...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumshauri labda mumshauri ninyi

    Huyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo. Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya mapenzi na jamaa yake jamaa anapomaliza anaenda na haja kubwa hapo hapo. Anasema mara ya kwanza ilitokea...
  7. adriz

    JamiiForums Tanzania Mlioacha kutumia pilipili mliwezaje? Licha ya kunidhuru kila ninapotumia nimeshindwa kabisa kuacha ulaji wake

    Habari za muda huu wana JF, Nimekuwa mtumiaji mzuri wa pilipili tokea udogoni mpaka sasa mpaka kuna kipindi nikawa ninajiuliza hivi wapi kuna mashindano ya ulaji wa pilipili na mimi nikawakilishe vizuri taifa langu? Na kwangu chakula chochote bila pilipili kwangu naona hakina maana na mzuka...
  8. The unpaid Seller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

    Peace be with you all, Week hii niko Dodoma kwa masuala fulani. Jana jioni baada ya mizunguko wakati narudi hotel (Morena hotel) kabla sijafika round about kutokea Mipango nikamuona kimwa asee kimwana haswaa. Demu ni mkali hatari sikua na mzuka na wanawake kutokana na deal fulani kwenda ovyo...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa hata kula

  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

    Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania aliyetambulika kwa jina la William Chacha Giriago mwenye umri wa miaka 40 amekutwa amefariki kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, RPC Martin Otieno amesema mtu huyo amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake aliyokuwa ameufunga kwenye...
  11. Ryder2

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kulifungua begi la marehemu Mama yangu

    Huenda ni kiandika haya naweza kupata faraja na comfort kutoka kwa wadao walio wahi kupitia hali kama hi (death trauma). Tarahe 13 June mwaka jana nilipoteza mama angu kipenzi, ni lipitia wakati mugumu sana kukubaliana na ukweli kama mama amefariki kweli, cijawahi kulia tangu ukibwani ila ni...
  13. Simeone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DREAM LEAGUE NIMESHINDWA KULIPATA

    Wakuu mbona Dream League nikiingia playstore niambiwa UNAVAILABLE IN YOUR COUNTRY halafu nikidownload kupitia google linagoma ku install inaandika HUENDA KIFAA KIMEHARIBIKA naomba mwenye kujua link unipatie ni download nahitaji dream league ya 2018 au 19
  14. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeshindwa ku rent ama kununua hii Royal tour documentary amazon

    Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kununua au kuazima documentary ya Royal Tour Amazon kwa sababu credit card yangu sio ya USA

    Baada ya kuiona trailer ya documentary ya Royal Tour na kufahamishwa kuwa ipo Amazon, niliamua na mie ngoja nilipie kuiangalia. Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia. Hivi huu ubaguzi hadi kwenye credit card?
  16. E

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuendelea na masomo, naombeni kazi

    Habari wana Jf, Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza. Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wenzangu wananifanyia figisu nifukuzwe kazi

    Habarizenu humu! Baada ya salamu,naomba niwasilishe changamoto ilionifanya niandike leo, mimi nimuajiriwa kwenye organization ABC, kwa bahati mbaya bado sijakabidhiwa kazi rasmi yaani nipo kwenye kipindi Cha mafunzo, shida iko hapa. Eneo lakazi nimekuta wafanyakazi wazoefu tu was muda, Kuna...
  18. homeless1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

    Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki Skill Pace Finish 100%
  19. ANT DRUGS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

    Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi. Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo: 1. Huyu kweli anaweza kuniroga? 2. Hili...
  20. Countrywide

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuelewa kwanini niki-date na mwanamke anashindwa kunisahau? Ilinisumbua kupata mke

    ....
Back
Top Bottom