Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo.

Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani, Wafanyakazi wa Sekta za Umma, na Wanaharakati wa Haki za Kiraia kutoka Nchi za Kenya, Afrika Kusini, Tunisia na Nigeria.

Afrika Kusini: Julius Malema, Kiongozi wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (SAFTU) ametangaza kusimamisha shughuli zote nchini humo ili kumshinikiza Rais Cyril Ramaphosa kujiuzulu kutokana na Uhaba wa Umeme.

Kenya: Upinzani ukiongozwa na Raila Odinga umeyaita maandamano hayo kama "Mama wa Maandamano Yoye" yakilenga kushinikiza migomo dhidi ya Serikali baada ya kutoridhika na namna inavyokushughulikia matatizo ya Uchumi, Gharama za Maisha na Hali ya Kisiasa.

Tunisia: Maandamano yameanza Ijumaa ya Machi 17, 2023 na kilele chake ni Jumatatu Machi 20, 2023 yakiongozwa na kundi la National Salvation Front na Raia wanaomtuhumu Rais Kais Saied kwa kudhoofisha Uchumi na Hali za Wananchi.

Nigeria: Makundi ya Vijana pamoja na Vyama vya Upinzani vimetangaza kuandamana kushinikiza Mageuzi ya Tume ya Uchaguzi inayotuhumiwa kwa Kuvuruga Uchaguzi Mkuu, ambapo Mgombea wa Chama Tawala cha APC, Bola Tinubu alitangazwa Mshindi wa Urais.

Aidha, Nchi zote hizi zimekuwa zikikabiliwa na malalamiko ya Wananchi kuhusu Mfumuko Mkubwa Gharama za Maisha.
 
Tanganyika...! Mama anaupiga mwingi
 
Mbona Tanzania nako gharama za maisha zimepanda?
 
Back
Top Bottom