Nimekuwa mtembeleaji wa hii forum kubwa kabisa nchini Nigeria kama sio Africa kwa miaka mingi sana sasa
Kinachonishangaza ni kwa nini hawataki kuifanyia mabadiliko ya kimuonekano kama wanavyofanya jamii forums mara kwa Mara
Je zipo sababu za msingi kwa wamiliki wa mtandao huu kutokutaka kufanya mabadiliko ya kimuonekano ya mtandao wao au ni kutokujali tu
Wenye majibu ya hili swali langu mnakalibishwa