Genevieve Nnaji, Muigizaji wa kike anayelipwa zaidi Nchini Nigeria

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Gene.JPG

Genevieve Nnaji ndiye Muigizaji wa Nigeria anayelipwa zaidi kuonekana kwenye filamu Nchini Nigeria.

Mwaka 2018, Netflix ilimlipa staa huyo wa Nigeria kiasi cha Dola Milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8) kutokana na filamu yake ya Lionheart, Mwaka 2011, Genevieve alikuwa akilipwa Pauni 95,000 (Tsh. Milioni 268) kwa filamu moja

------------

Genevieve Nnaji is by far the highest paid Nigerian actress per movie appearance, and was the first to earn seven figures —a million naira— for a movie appearance.

At the peak of her career, in the 2000s, Genevieve Nnaji earned between three and four million naira for each screenplay. For her starring role in the 2010 global smash hit "Ije", she was paid $25,000 (3.75 million naira). In the current economy, this wage is comparable to almost 10 million naira.

Genevieve Nnaji is the highest paid Actress based in Africa. Netflix reportedly acquired her 2018 movie, Lionheart for $3.5 million in 2018. She was paid £95,000 to star in the 2011 movie, The Mirror Boy. She was paid $25,000 to star in the 2010 movie, Ije: The Journey.

Source: Clacified

Genevieve Nnaji is Nigeria's richest actress. As of 2022, her net worth was estimated at 10 million U.S. dollars, equivalent to around 4.2 billion Nigerian naira (NGN). In 2005, she won the Africa Movie Academy Award for Best Actress in a leading role.
Source: Statista
 
View attachment 2553631

Beautiful and talented, sina mzuka na movies za Kiafrika lakini back in the day ilikuwa nikijua yuko kwenye movie basi naiangalia kwa sababu tu yuko featured kwenye hiyo movie husika.
 
View attachment 2553631
Genevieve Nnaji ndiye Muigizaji wa Nigeria anayelipwa zaidi kuonekana kwenye filamu Nchini Nigeria.

Mwaka 2018, Netflix ilimlipa staa huyo wa Nigeria kiasi cha Dola Milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8) kutokana na filamu yake ya Lionheart, Mwaka 2011, Genevieve alikuwa akilipwa Pauni 95,000 (Tsh. Milioni 268) kwa filamu moja

------------

Genevieve Nnaji is by far the highest paid Nigerian actress per movie appearance, and was the first to earn seven figures —a million naira— for a movie appearance.

At the peak of her career, in the 2000s, Genevieve Nnaji earned between three and four million naira for each screenplay. For her starring role in the 2010 global smash hit "Ije", she was paid $25,000 (3.75 million naira). In the current economy, this wage is comparable to almost 10 million naira.

Genevieve Nnaji is the highest paid Actress based in Africa. Netflix reportedly acquired her 2018 movie, Lionheart for $3.5 million in 2018. She was paid £95,000 to star in the 2011 movie, The Mirror Boy. She was paid $25,000 to star in the 2010 movie, Ije: The Journey.

Source: Clacified

Genevieve Nnaji is Nigeria's richest actress. As of 2022, her net worth was estimated at 10 million U.S. dollars, equivalent to around 4.2 billion Nigerian naira (NGN). In 2005, she won the Africa Movie Academy Award for Best Actress in a leading role.
Source: Statista
Sasa katokaje dola milioni 3.5 mpaka paundi 95,000 ?

That's not even in the same league!
 
Vipi, na sisi hatuna Bongo Muvi wa kike hata mmoja tu anaye mkaribia kwenye hayo malipo?

Au ndiyo kusema wasanii wetu wako busy kudanga, na pia kusubiri kipindi cha uchaguzi kifike ili watumike kwenye kampeni za kukinadi chama cha mapinduzi?
 
Back
Top Bottom