Pole kwa Yanga: Rivers United ya Nigeria yarahisishiwa kazi na Simba, itapiga kwenye mshono ambao Simba iliusababisha!

Rivers United itapiga kwenye mshono wa Yanga wa tarehe 16/04/2023!! "wananchi" msijifanye hamjaelewa!

Unaambiwa Rivers united wanafanya mazoez na BOKO HARAM
Ni tahadhari tu, Rivers wanafurahia mnyonge wao kajileta mwenyewe! atajuta kuingia robo fainali!
Walikua wanashangilia 😆kupangwa nao
Sa huo mshono utakuaje!!?
Yanga ishakufa tayari, wakatembeze bakuli tu mitaini na ndugu zao wagogo.
Basi Ismail Aden Rage akiona nyuzi kama hizi kutoka kwa wana simba wenzake, anacheeka!!! 😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom