nia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika:Kuchukua form kutawajumuisha hata wale ambao hawakutia nia

    Mchakato wa kuchukua fomu utawajumuisha hata wale ambao hawakutia nia. Kila mwanachama anaruhusiwa kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani- Katibu Mkuu wa Chadema, Mheshimiwa Mnyika.
  2. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mch. Michael Msigati atangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Same Magh kupitia TLP, atuma salamu kwa David Mathayo " Sasa ni wakati wa bwana "

    Team salaam! Safari ya TLP kuelekea Oktoba 2020 imepamba moto kwelikweli, Leo chama chetu kimepokea tena Mgombea Wa Ubunge toka Same Magh Mhe. Mch Michael Msigati,
  3. F

    JamiiForums Tanzania Steven Nyerere aibua kiroroja: Atinga ofisi za CCM kuchukua fomu ya Ubunge. Hakujua muda bado ila alipaswa kutangaza nia tu?

    Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge. Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia? Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 14 hadi 17 July kupitia CCM.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Andrew aliyetia nia ya kumrithi mchungaji Msigwa Iringa mjini asimamishwa kazi

    Katika hali isiyoeleweka kama ni figisu za mchungaji Msigwa ama la, Mwalimu Andrew Palagio aliyetia nia kugombea ubunge Iringa mjini kwa tiketi ya Chadema amesimamishwa kazi. Andrew ni mwalimu katika shule ya St Dominic Savio katika manispaa ya Iringa. Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi. ==== Kitila Mkumbo ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ana phd ya Saikolojia, Maters ya Elimu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

    Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Membe ulikosea sana kutangaza nia ya kugombea Urais mapema

    Mheshimiwa Membe nashindwa kuamini kuwa wewe ni mwanaintelejensia makini. Intelligence maana yake ni uwezo wa kuona mbali zaidi ya wengine that's why hata hapa Tanzania ndege anayeona mbali hufanywa kama alama ya intelligency. Ulipaswa ukae kimya miaka yote mpaka wiki ya kuchukua fomu...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joachim Marunda Kimaryo (maarufu kama Master J) atangaza nia ya kugombea ubunge Rombo

    Muandaji muziki maarufu Joachim Marunda Kimaryo (Master J) ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Rombo akiwa kwenye mahojiano katika redio ya Clouds FM kwenye kipindi cha XXL. Master J amenukuliwa akisema "Mimi nipo CCM tangu zamani, natangaza nia, uchaguzi wa mwaka huu, Chama kikinipa...
  10. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo ------ Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

    Bi Hussina Amekamatwa na watu wanaosadikika kuwa ni Police, na yuko kituo cha Polisi Geita. NYUMBANI kwake kumejaa Polisi nje na ndani. Kosa la yeye kushikiliwa halijulikani. Zaidi soma: Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka...
  12. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtia nia Jecha na Hoja ya Mwigulu Nchemba juu ya Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia ya kumuoa yule mama ambaye roli lake lilizama mto wami kama hana mme: Bila mume makini mama atapata tabu

    Wanawake wenye uthubutu wako wengi Sana! Ni Jambo jema; Na yote hayo yamepelekewa na sisi wanaume kutowatimizia mahitaji yao ipasavyo! Huyo mama anaonekana Ni miongoni mwa wapambanaji Biashara Ni VITA ya kiuchumi! Hupaswi kuingia mzimamzima kizembe Utapigwa KNO moja (noki Auti) na usirudi tena...
  14. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwamba hana lolote, asiwapoteze Maboya wenye nia thabiti ya kumchallenge Uncle

    Huyu Mwamba, Benard Camilius Membe, huyu jamaa akiwa foreign Minister, kijana aliyekulia ndani ya kitengo, akiwa na mabilioni ya Gaddafi na maconnection kibao ndani hadi kwa Mabeberu, alitumia almost miaka mitano ya mwisho ya utawala wa J.K kujiandaa kuukwa Urais wa Jamhuri lakini hata kwenye...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kingwendu atia nia ya ubunge Kisarawe, aapa kumng'oa Jaffo!

    Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa nchini, Rashid Mwinshehe maarufu kama "Kingwendu" amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo Maendeleo hayana vyama! Kingwendu amesema anagombania...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baraza la Uongozi la CHADEMA Mkoa wa Mbeya lakutana na watia nia wa Ubunge na Udiwani

    Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa kumekucha , na kwamba kama kuna anayedhani ccm itaambulia chochote Mbeya basi bila shaka atakuwa amelogwa
  17. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa watiania kiti cha Urais Zanzibar

    Wadau, Mpaka leo 19/06/2020 wanachama 13 wa CCM wamechukua fomu kuwania kuteuliwa ili kugombea nafasi ya Urais katika visiwa vya Zanzibar. Idadi hii sio haba, je ni kukua kwa demokrasia au kudhoofika? Je, hatma yake ni shwari au sharii? Yajayo yanfurahisha. CCM oyee === ---
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu za msingi kwanini nimchague huyu ndani ya CHADEMA licha ya watia Nia kibao

    Watia nia Mpaka sasa 1. Tundu Lissu 2. Freeman Mbowe 3. Lazaro Nyalandu 4. Peter Msigwa, Hawa ni watia nia ambao ninawatenga katika makundi matatu KUNDI A Wanaoonekana kuimiliki chadema kimtizamo na mawazo ya waliowengi japo wana maono na ni wachapakazi KUNDI B Wanaoonekana Kuwa wapya na wana...
  19. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya bhukile : Mabaraza ya Majimbo yaanza kuwahoji watia nia kwa lengo la kuchuja pumba na mchele

    Chadema Mkoa wa Mbeya imeanzisha program maalum kwa ajili ya kuwasaili Watia nia wote kwenye Udiwani ili kufahamu uwezo , dhamira na uaminifu wao kwa chama na wananchi kwa lengo la kuwapata wagombea bora wasio mamluki .
Back
Top Bottom