Uchaguzi 2020 Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson atangaza nia ya kugombea Ubunge Mbeya

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1592234956379.png

Naibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge Mbeya japokuwa hajaweka wazi jimbo atakalogombea

Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda utakapofika. Dk. Tulia aliteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum na Rais Magufuli Novemba 16, 2015

Alichaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge Novemba 19, 2015
 
Naibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge japokuwa hajawekwa wazi jimbo ambalo atagombea

Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda utakapofika. Dk. Tulia amekuwa Naibu Spika tangu mwaka 2015
Akitaka aibu, agombee kwa Sugu!
 
Huyu maza anachokitafuta atakipata..kama si kuwaponza mapolice basi itakuwa Tume ya uchaguzi au Mkurugenzi mtangaza matokeo

Uchaguzi wa mwaka huu unaelekea utakuwa mtama balaa.....
 
Back
Top Bottom