Huyu Mwamba hana lolote, asiwapoteze Maboya wenye nia thabiti ya kumchallenge Uncle

kajekudya

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
1,513
2,000
Huyu Mwamba, Benard Camilius Membe, huyu jamaa akiwa foreign Minister, kijana aliyekulia ndani ya kitengo, akiwa na mabilioni ya Gaddafi na maconnection kibao ndani hadi kwa Mabeberu, alitumia almost miaka mitano ya mwisho ya utawala wa J.K kujiandaa kuukwa Urais wa Jamhuri lakini hata kwenye tatu bora hakuingia.
Hili tu linatosha kutoa picha kuwa jamaa ni mwepesi zaidi ya unyoya.
Sasa juzi kaja na porojo, oooooh niguse ninuke, haaa! Wanaume wakaamua kumtia vidole mtandaoni kabisa, hakutoa halufu yoyote!
Ushauri wangu wenye nia ya kumchallenge Uncle angalau apate kajoto kwa mbaaaali( In Paskal's Voice) wasipotezwe na huyu Mwamba, Ni nyoka wa Kibisa as always.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,510
2,000
CCM mambo yake yanategemea Bwana fulani kaamkaje!!Ni bora iwe kwa CCM sio kwa nchi nzima. Hivyo, yoyote anaetaka kumpinga huyu mtu ndani ya CCM, tutamuunga mkono.
 
kajekudya

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
1,513
2,000
CCM mambo yake yanategemea Bwana fulani kaamkaje!!Ni bora iwe kwa CCM sio kwa nchi hivyo yoyote anaetaka kumpinga huyu ndani ya CCM tutamuunga mkono.
Oohoo kwahiyo kwenye kinyanganyiro hamumo tena, hivi mtashtuka lini hawa jamaa kujiundia upinzani na nyie kubaki watazamaji!
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,304
2,000
Huyu Mwamba, Benard Camilius Membe, huyu jamaa akiwa foreign Minister, kijana aliyekulia ndani ya kitengo, akiwa na mabilioni ya Gaddafi na maconnection kibao ndani hadi kwa Mabeberu, alitumia almost miaka mitano ya mwisho ya utawala wa J.K kujiandaa kuukwa Urais wa Jamhuri lakini hata kwenye tatu bora hakuingia.
Hili tu linatosha kutoa picha kuwa jamaa ni mwepesi zaidi ya unyoya.
Sasa juzi kaja na porojo, oooooh niguse ninuke, haaa! Wanaume wakaamua kumtia vidole mtandaoni kabisa, hakutoa halufu yoyote!
Ushauri wangu wenye nia ya kumchallenge Uncle angalau apate kajoto kwa mbaaaali( In Paskal's Voice) wasipotezwe na huyu Mwamba, Ni nyoka wa Kibisa as always.
Kamanda Membe akiachwa asimame na jiwe kwanza amemzidi kwa kila kitu na atashinda asubuhi na mapema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom