Uchaguzi 2020 Mbeya bhukile : Mabaraza ya Majimbo yaanza kuwahoji watia nia kwa lengo la kuchuja pumba na mchele

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,631
218,059
Chadema Mkoa wa Mbeya imeanzisha program maalum kwa ajili ya kuwasaili Watia nia wote kwenye Udiwani ili kufahamu uwezo , dhamira na uaminifu wao kwa chama na wananchi kwa lengo la kuwapata wagombea bora wasio mamluki .

Instagram media - CBgKeBHDUOL ( 799 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom