Mheshimiwa_Mtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 288
- 215
Wadau,
Mpaka leo 19/06/2020 wanachama 13 wa CCM wamechukua fomu kuwania kuteuliwa ili kugombea nafasi ya Urais katika visiwa vya Zanzibar.
Idadi hii sio haba, je ni kukua kwa demokrasia au kudhoofika? Je, hatma yake ni shwari au sharii? Yajayo yanfurahisha.
CCM oyee
===

---Hii hali inayoendelea Zanzibar ya wengi kujitokeza kuchukua fomu ya ugombea urais inaweza ikawa siyo hali ya kawaida.
Inawezekana kuna mpango wa kundi flani huku, kusuka wa kumpitisha mgombea wao lakini labda upande wa pili wakaona namna ya kuuvuruga huo mpango na kufanya suprise ni wengi kuchukua fomu.
Haiwezekani Bashiru ashangazwe na watu wengi kuchukua fomu,na zamu hii zanzibar hamna 3 au 5 bora anatafutwa tu mmoja.
Hii hali ya wengi kuchukua fomu inawezekana ni kuvuruga mipango ya upande mwingine au kuna watu wana mpango wao binafsi.
Kufuatia utitiri wa wagombea urais Zanzibar, kuna mkakati gani wa siri? Au wanataka kupingana na chaguo la mkuu?
Karibuni tujadili.