Lazaro Nyalandu kutangaza nia ya Urais Leo

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Mwanachama mwandamizi wa Chadema , Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu atazungumza na wanahabari Leo saa 12 kamili jioni.

Taarifa za uhakika ni kwamba mwanasiasa huyo kijana mwenye umaarufu mkubwa anatarajiwa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia chama pendwa Cha Chadema.

Tayari nchi imesisimka kutokana na wanasiasa mashuhuri ndani ya Chadema kutangaza nia.Nyalandu atakuwa ni mtu wa tatu nyuma ya Tundu Lissu na Peter Msigwa.

Kesho tarehe 15 ndiyo siku ya mwisho ndani ya Chadema huku masikio na minong'ono pia ikielekezwa kwa Mwenyekiti wa chama hicho Mwamba Freeman Mbowe kwamba huenda naye akatangaza nia hapo kesho ingawa bado hajapona tangu ashambuliwe

Chini ni Tangazo la Mhe Nyalandu.....

Nitazungumza na Wanahabari na nitakuwa LIVE ndani ya Global TV na Millard Ayo TV leo Jumapili June 14 saa 12 jioni. Karibu sana unisikilize!

Mh. Lazaro Nyalandu
 
Server ya JF inajazwa takataka sasa,hivi nyalandu kutangaza nia nayo ni habari? nyalandu ni nani kwanza? ana ushawishi gani? huyu huyu aliyekuwa anakwenda kujirusha nchi za ng'ambo na totoz kwa kisingizio cha kwenda kutangaza utalii?? Muwe serious aisee,kumruhusu atangaze nia tu kwenye chama chenu mnaonekana kabisa mna uboya fulani hivi,eti nyalandu 😃😃😃😃
 
Wamechelewa Sana. Lakini Ni bora wamethubutu kupata Mgombea.
 
Server ya JF inajazwa takataka sasa,hivi nyalandu kutangaza nia nayo ni habari? nyalandu ni nani kwanza? ana ushawishi gani? huyu huyu aliyekuwa anakwenda kujirusha nchi za ng'ambo na totoz kwa kisingizio cha kwenda kutangaza utalii?? Muwe serious aisee,kumruhusu atangaze nia tu kwenye chama chenu mnaonekana kabisa mna uboya fulani hivi,eti nyalandu 😃😃😃😃
Blah Blah
 
Nadhani boya ni wewe ambaye hufahamu kuwa kila raia kwa mujibu wa katiba ya nchi ana haki ya kutangaza nia na pia kugombea nafasi ya urais na zingine zo zote za kisiasa.

Unajidhalilisha wewe na waliokufundisha!
 
Utoto
Server ya JF inajazwa takataka sasa,hivi nyalandu kutangaza nia nayo ni habari? nyalandu ni nani kwanza? ana ushawishi gani? huyu huyu aliyekuwa anakwenda kujirusha nchi za ng'ambo na totoz kwa kisingizio cha kwenda kutangaza utalii?? Muwe serious aisee,kumruhusu atangaze nia tu kwenye chama chenu mnaonekana kabisa mna uboya fulani hivi,eti nyalandu
 
Kama ni kweli basi upinzani safari bado ni ndefu
Mnagawana kura ushindi hautapatikana
Acha tuendelee kuburuzwa
 
Mwanachama mwandamizi wa Chadema , Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu atazungumza na wanahabari Leo saa 12 kamili jioni.

Taarifa za uhakika ni kwamba mwanasiasa huyo kijana mwenye umaarufu mkubwa anatarajiwa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia chama pendwa Cha Chadema.

Tayari nchi imesisimka kutokana na wanasiasa mashuhuri ndani ya Chadema kutangaza nia.Nyalandu atakuwa ni mtu wa tatu nyuma ya Tundu Lissu na Peter Msigwa.

Kesho tarehe 15 ndiyo siku ya mwisho ndani ya Chadema huku masikio na minong'ono pia ikielekezwa kwa Mwenyekiti wa chama hicho Mwamba Freeman Mbowe kwamba huenda naye akatangaza nia hapo kesho ingawa bado hajapona tangu ashambuliwe

Chini ni Tangazo la Mhe Nyalandu.....

Nitazungumza na Wanahabari na nitakuwa LIVE ndani ya Global TV na Millard Ayo TV leo Jumapili June 14 saa 12 jioni. Karibu sana unisikilize!

Mh. Lazaro Nyalandu
Sawa Mkuu ngoja tusubiri hiyo saa 12 Jioni.
 
Kama ni kweli basi upinzani safari bado ni ndefu
Mnagawana kura ushindi hautapatikana
Acha tuendelee kuburuzwa
Mkuu Vuta Subira hii ni Teknik ya Kijasusi ambayo CDM wanaitumia kuwapoteza CCM wasijue nani atasimama,tumeelekeza Mgombea wetu ni Lissu ili CCM wajipange kupambana na Lissu lakini at the end hautaweza amini anayekuja VUTA Subira tu!!
 
Server ya JF inajazwa takataka sasa,hivi nyalandu kutangaza nia nayo ni habari? nyalandu ni nani kwanza? ana ushawishi gani? huyu huyu aliyekuwa anakwenda kujirusha nchi za ng'ambo na totoz kwa kisingizio cha kwenda kutangaza utalii?? Muwe serious aisee,kumruhusu atangaze nia tu kwenye chama chenu mnaonekana kabisa mna uboya fulani hivi,eti nyalandu 😃😃😃😃
Wapi 1.5 trilion za wananchi?
 
Mkuu Vuta Subira hii ni Teknik ya Kijasusi ambayo CDM wanaitumia kuwapoteza CCM wasijue nani atasimama,tumeelekeza Mgombea wetu ni Lissu ili CCM wajipange kupambana na Lissu lakini at the end hautaweza amini anayekuja VUTA Subira tu!!
Asante Mkuu
 
Server ya JF inajazwa takataka sasa,hivi nyalandu kutangaza nia nayo ni habari? nyalandu ni nani kwanza? ana ushawishi gani? huyu huyu aliyekuwa anakwenda kujirusha nchi za ng'ambo na totoz kwa kisingizio cha kwenda kutangaza utalii?? Muwe serious aisee,kumruhusu atangaze nia tu kwenye chama chenu mnaonekana kabisa mna uboya fulani hivi,eti nyalandu 😃😃😃😃
Mungu ibariki Chadema
 
Server ya JF inajazwa takataka sasa,hivi nyalandu kutangaza nia nayo ni habari? nyalandu ni nani kwanza? ana ushawishi gani? huyu huyu aliyekuwa anakwenda kujirusha nchi za ng'ambo na totoz kwa kisingizio cha kwenda kutangaza utalii?? Muwe serious aisee,kumruhusu atangaze nia tu kwenye chama chenu mnaonekana kabisa mna uboya fulani hivi,eti nyalandu
Vipi imekuingia hiyo,, mbona povu sana mkuu?!!!
 
Ni haki yake kikatiba.Hongera yake.Tungependa angalau wajitokeze walau watano na Kule ccm wajitokeze hats kumi
 
Sikatai ni haki yake kikatiba,amejitathimini kwanza? Huyu ni kanjanja wa kisiasa mzuri tu,hata udiwani tu hafai,hizo pesa bora azipige pombe tu wakuu kama alivyoanza mwenzake.
 
Safi sana DEMOKRASIA iliyokomaa......kuna chama ni mali ya mtu mmoja kutoka jamhuri ya watu wa chattel
 
Back
Top Bottom