ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kujua maisha ni nini tembelea sehemu tatu

    1. Hospital 2. Jela 3. Makaburini Hospitalini utajua afya ni utajiri mkubwa. Jela utajua umuhimu wa uhuru Makaburini utathamini umuhimu wa maisha. Kuwa mtulivu!
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya upatikanaji wa maji Sinza C sasa imekuwa sugu inaweza kupita hata miezi mitatu

    Eneo la Sinza C, hususan karibu na Chuo cha Sheria, ni miongoni mwa maeneo yanayokumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji. Wananchi wanalalamikia ukosefu wa maji wa mara kwa mara, huku wakieleza kuwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) haijatoa maelezo ya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

    IVF (In Vitro Fertilization) ni njia ya kitabibu ya kusaidia kupata mtoto kwa kurutubisha yai na mbegu za kiume nje ya mwili wa mwanamke, katika maabara, kisha kiinitete (embryo) kinachopatikana hupandikizwa kwenye mfuko wa uzazi.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi siku AI ikajikomboa na kuanza kuishi kwa maamuzi yake wala bila kuzibitiwa ni nini kitatokea?

    Ni wazo ila ni kweli nazalia nyingi kama sinema na vitabu zinasema miaka ya huko mbele kwa vizazi vingine kutakuwa utawala ambao ni AI . Na unaweza kuwa na vita kubwa kati ya wanadamu na robot ambao mkuu wao ni AI. kuna vitabu vilitabili kama cha Darwin among the Machines cha mwaka 1863...
  5. Poker

    JamiiForums Tanzania Fetish ni nini? Mjadala wa kuvutiwa kingono

    Fetish inamaana gani? Neno "Fetish" (kwa Kiswahili wakati mwingine huitwa Fetihi) katika muktadha wa mapenzi na mahusiano lina maana ya kuvutiwa kingono na kitu, tabia, au sehemu fulani ya mwili ambayo kikawaida haichukuliwi kama kiungo kikuu cha uzazi au sehemu ya tendo la ndoa. Mtu mwenye...
  6. Dr leader

    JamiiForums Tanzania UKOMAVU NI NINI?

    UKOMAVU NI MTAZAMO WA AKILI, SI UMRI. HIZI HAPA DALILI ZA MTU ALIYEKOMAA! • Haogopi kuwa peke yake. • Anatambua kuwa pesa siyo mbaya, ubaya ni kukosa pesa. • Anajua kuwa Nafsi inaweza kuwa adui yako mkubwa au msaidizi wako mkubwa. • Anagundua maisha huwa mazuri zaidi pale watu wasipojua...
  7. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
  8. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi wazee ni nini chanzo halisi Cha shinikizo la juu la damu yaani blood pressure especially for young people in their 20's

    Hivi wakuu hili suala lipo aje vijana normal wadogo pressure zinawapata Cha ajabu wengine wanatumia medication kabisa. Karibu tuchangie mada kikaangoni.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

    Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni. Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana! Watoto...
  10. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Tabasamu lako ni ishara ya nini?☺️☺️

    Tabasamu ni nini? 😊 Tabasamu mara nyingi huonekana kama ishara ya furaha Kuna wakati mtu hutabasamu kutokana na jambo zuri alilofanyiwa labda mguso wenye upendo, busu tamu la hisia kuona mazingira mazuri au kitu kinachovutia na kuleta amani moyoni Lakini si kila tabasamu lina maana ya furaha😊...
  11. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Upendo ni nini?

    Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali. Hivi upendo ni nini? au upendo unatoka wapi? mtu akipendwa anahisije? ' Maana sisi ni nyama, damu na maji, kwanini mtu akiumizwa kwenye mahusiano yoyote anaumia na wakati hajaguswa? kwanini kuna wivu? Kwanini mtu akimpenda mtu mwingine anakuwa na wivu? No...
  12. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??

    Maana ilikuwa ni tufurahie TU ya duniani ila ndo hivo CCM haipendi kabisa tuwe na raha
  13. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Hisia ni nini?🤔

    Je, hisia ni nini? Mara nyingi utasikia mtu akisema baada ya jambo kutokea Nilihisi tu itakuwa hivi au Kabla hii issue haijatokea, nilihisi kuna kitu hakipo sawa Maneno haya hujitokeza mara nyingi baada ya tukio husika kutokea Je, hisia ndizo zinazoitwa machale? Wengine husema :Machale...
  14. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Kifo ni nini hasa? Is death really a right or a mystery we don’t understand?

    Kifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani? Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia? Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa. Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “ haki ya...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni nini kigetokea kama Shetani asigelikuwepo/Kuasi?

    Tuendelele kuvumiliana wakuu. Hoja yangu ina mashiko hvyo naomba nisikilizwe. Ukisoma kitabu flani cha wasabato kinachoitwa Great controversy (Between {God}Christ and Satan ) Au kwa jina jepesi kinaitwa PAMBANO KUU (KATI YA WEMA NA UBAYA) cha Ellen G White. Kitabu hiki kinasema Shetani ni...
  16. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Writing Samples ni nini? Na natuma nini nikitakiwa kwenye job application?

    Wakuu naomba msaada kidogo. Kuna kazi nimeomba (hasa za research na translation), wameomba nitume writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali: 👉 Hizi writing samples ni nini hasa? 👉 Natakiwa kutuma nini? Najiuliza: Je, natuma documents zote nilizowahi kuandika? (maana ni nyingi na zina...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki, hiki ni nini kinachofanyika hapa?

    Ni kitu gani kinachofanyika hapa? Kwa nini Yesu ni mzungu? Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?
  18. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Benyamin Netanyahu Kafa? Kama siyo mbona wanajieleza Sana

    Nawasalimu Kwajina la JF! Naweka kiulizo kifupi japo hili swala limeulizwa sana lakini sioni jibu lilolkuwa wazi, Swali nini kipo nyuma ya Uvumi wa mitandao ya kijamii Hasa ya Serikali ya Israel kuhusu uvumi wa Kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahau? Kwanini Nguvu kubwa imekuwa...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa raia wengi wa Tanzania wanakitaka katika siasa?

    Sidhani kama wengi demokrasia na mambo ya haki ni kipaumbele kwao. Inaonekana wengi wanachotaka ni maendeleo tu bila kujali yamepatikanaje au gharama yake. Lakini pia raia wengi wanapenda viongozi wanaume wahafidhina populists na nationalists.
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

    Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts. Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
Back
Top Bottom