Ni nini maana ya T-shirt ya Mwakinyo..??

Ni nini maana ya T-shirt ya Mwakinyo..??

Albano Daud

Senior Member
Joined
Aug 23, 2025
Posts
198
Reaction score
226
Wana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo.

Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
 
IMG_7197.jpeg
Hahaa
 
Wana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo.

Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
Wahuni tu wapo kazini wala sio akili yake , kwani hamjaanza kuona aliekua mgombea wenyekiti Chadema anaanza ongea ujinga sijui wa maridhiano? anzia pale then unganisha na ujinga huu
 
Back
Top Bottom