Kuna mtu anaweza kunishawishi kwamba hii sio ibada ya sanamu?Ni kitu gani kinachofanyika hapa?
Kwa nini Yesu ni mzungu?
Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?
Sijui ila kwa akili zako za kuvukia barabara anaweza akakwambia wanaiabudu sanamu maana akili zako na zake hazipishani atakwambia kugombania kulishika jiwe la Shetani na kulirushia mawe sio ibada ya sanamu?Kuna mtu anaweza kunishawishi kwamba hii sio ibada ya sanamu?
Km amekosa ya kufanya mwambie aende tu hata akavuke barabara na kushangaa magari itamsaidia zaidiMkuu fanya mengine.achana na hayo .
Kwa hiyo unasemaje sasa, kinachofanyika hapo ni ibada ya sanamu kama vile kurusha jiwe unaona ni ibada ya sanamu? Kama kurusha jiwe ni ibada ya sanamu kunahalalishaje kukiramba hicho kisanamu?Sijui ila kwa akili zako za kuvukia barabara anaweza akakwambia wanaiabudu sanamu maana akili zako na zake hazipishani atakwambia kugombania kulishika jiwe la Shetani na kulirushia mawe sio ibada ya sanamu?
AdorationNi kitu gani kinachofanyika hapa?
Kwa nini Yesu ni mzungu?
Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?
View attachment 3568247
Amin unachoona kinakufaa, hata ukiamin mti sawa tu ni wewe na maisha yako.Ni kitu gani kinachofanyika hapa?
Kwa nini Yesu ni mzungu?
Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?
View attachment 3568247
Kwa hiyo unasemaje sasa, kinachofanyika hapo ni ibada ya sanamu kama vile kurusha jiwe unaona ni ibada ya sanamu? Kama kurusha jiwe ni ibada ya sanamu kunahalalishaje kukiramba hicho kisanamu?
Kumbuka pia, kuramba kisanamu kulianza kabla ya kurusha jiwe.
Kwani wewe unavyojua Mungu yukoje?Mambo mengine ukifikiria sana utakufuru..
Ni kubaki kuheshimu tu kile wenzio wanafanya basi..
Lakini kutolea uwakilishi wa Mungu na vinyago haiingii kwa ubongo...
Tuheshimu tu imani zetu basii.
Simjui alivo.Kwani unavyojua Mungu yukoje?