KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Nawasalimu Kwajina la JF!
Naweka kiulizo kifupi japo hili swala limeulizwa sana lakini sioni jibu lilolkuwa wazi,
Swali nini kipo nyuma ya Uvumi wa mitandao ya kijamii Hasa ya Serikali ya Israel kuhusu uvumi wa Kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahau? Kwanini Nguvu kubwa imekuwa ikitumika kujibu uvumi huu?Tumeona video zaidi ya tatu zikimnukuu Waziri Mkuu Huyo akisema mimi nipo Mzima,! Lakini wakina AI Video analyst wanasema hii ni Ai kutoka katika Picha Halisi ya tarehe fulani imepigwa na camera aina fulani na katika location fulani,kitu kinachozidi kuibua hisia za watu kuwa yawezekana uvumi huo ni wakweli!
Ukweli utajulikana kwani Hakimu Mzuri ni muda.

- Video ya kwanza ilikuwa ina vidole vingi zaidi ya itano ikaonekana (AI)
- Video hii ikaonekana yupo katika mgahawa akipata kahawa lakini kahawa imejaa pomoni na akinywa aipungui! (AI)
- Vide hii ilionekana pete ya ndoa ikipotea inarudi (AI)
- Sasa imekuja video akiongea na Balozi wa Marekani nchini Israel Bwana Mark ila anazidi kujitetea kuwa yeye ni mzima!