Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,376
- 27,319
Tuendelele kuvumiliana wakuu.
Hoja yangu ina mashiko hvyo naomba nisikilizwe.
Ukisoma kitabu flani cha wasabato kinachoitwa Great controversy (Between {God}Christ and Satan )
Au kwa jina jepesi kinaitwa PAMBANO KUU (KATI YA WEMA NA UBAYA) cha Ellen G White.
Kitabu hiki kinasema Shetani ni muasi tangu mwanzo,kinasema shetani ndio baba wa ubaya wote hapa Duniani nk
Swali linakuja iwapo basi shetani asingelikuwepo kabisa Au asingeliasi huko mbinguni je nikweli kwamba Tungekuwa tunaishi bila magonjwa yoyote? Nikweli tungeishi pasipo kufa ,wivu wala kuzini kabisa?
Je kuna raha gani ya kuishi uchi wewe na watoto wako au bado akili zetu zingekuwa kama wanyama?
Kumaanisha hata Gari,simu ndege,meli ,Tren na ujenzi wa nyumba nzuri usingelikuwepo.
kwa mtazamo wako hii dunia ingefaa ikiwa agizo la mungu bado ni lilelile enedeni (mkazaliane) mkaijaze nchi?
Kwa upande wangu sielewi na sina majawabu kwakweli.