Kikubwa Pumzi
Member
- Jul 25, 2025
- 83
- 182
Wakuu naomba msaada kidogo.
Kuna kazi nimeomba (hasa za research na translation), wameomba nitume writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali:
👉 Hizi writing samples ni nini hasa?
👉 Natakiwa kutuma nini?
Najiuliza:
Pia kuna hili linanichanganya:
Kama ulikuwa co-contributor (umechangia kuandika report au proposal pamoja na timu),
👉 Unathibitishaje kuwa hiyo kazi ulihusika kweli?
👉 Wao wana-verify vipi?
Na mwisho:👉 Natuma kama PDF, au napiga picha (screenshots) inatosha?
👉 Kuna format maalum wanayotegemea?
Naombeni uzoefu wenu wakuu, hasa waliowahi ku-apply kazi za research, NGO au translation 🙏
Kuna kazi nimeomba (hasa za research na translation), wameomba nitume writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali:
👉 Hizi writing samples ni nini hasa?
👉 Natakiwa kutuma nini?
Najiuliza:
- Je, natuma documents zote nilizowahi kuandika? (maana ni nyingi na zina MB kubwa)
- Au nachagua chache tu? Kama ni hivyo, ni zipi hasa zinatakiwa?
- Reports za miradi
- Proposal
- Articles
- Tafsiri (Swahili ↔ English)