ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Chiropractic ni nini?

    Ni sayansi ambayo ina tibu uti wa mgongo kwaku-focus kwenye ufanyaji sahihi wa kazi wa uti wa mgongo wenywe, nyonga, mpangilio wa pingili za uti wa mgongo (Alignment) na athari zake kwenye mishipa ya fahamu. Tiba hii ya chiropractic, daktari hu-focus kwenye kurudisha mpangilio wa pingili za...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Binamu wanaoana..... Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili. Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa. Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma...
  3. Fabian Vitus

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

    Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na...
  4. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya mapenzi?

    Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona. Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa kiswahili, maana ya neno "bosheni" ni nini?

    Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya Jeshi la Ulinzi?

    Wakati wa Merchantalism, Nchi za ulaya zilitumia sana Jeshi kutoa ULINZI kwa wafanya biashara na misafara Yao iliyozinguka duniani kote kukusanya vitu vya thamani ambavyo vilikuwa muhimu kwa ustawi wa mataifa Yao. Kwenye Colonialism naona Hali ni sawa, wazungu kwalitumia Jeshi lao kupata...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU. Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini? Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana? Watunzi...
  9. vnn

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa ABC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi. Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39? Mimi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia kwa 3 years ni yapi? Nijue nikae sawa

    I will be short, Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno yako binafsi na mifano elezea, "Baraka ni nini"

    Hebu twende kazi, eti baraka ni nini? Elezea kwa ufahamu wako,usitumie google
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

    Baada ya bei mpya kutangazwa jana, leo asubuhi, mafuta yamejaa kila kituo cha mafuta.
  13. Elon J

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inaingiza Apps bila ridhaa yangu (bila kudownload), shida ni nini?

    Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna muda nikiweka MB zinaisha faster kwasababu ya kujidownload kwa hizi apps. Wazee wa IT shida ni nini...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

    Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa. Afrika jamani shida ni nini?
  15. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

    Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo. Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini pekee?
  17. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia ni nini kinashindikana kuwaondoa hao wakazi wa Ngorongoro wanaoomba kuondolewa Ngorongoro?

    Serikali ilianzisha mpango wa kuwatoa wananchi ktk hifadhi ya Ngorongoro, wamekubali kwa hiari yao na wamejiandikisha tangia mwaka jana lakini bado serikali haiwahamishi kuwapeleke Mosmera au sehemu nyingine yoyte maana wako tayari. kila siku wanalalamika kwanini hawaondolewi, kuna nini huko...
  19. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Sababu ya umaskini na ufukara ni nini?

    Namna ambavyo kanisa linapaswa kuwajibu waumini ambao ni maskini na wanaoteseka kwa magumu wanayopitia. Ninachotaka kushughulikia katika makala hii ni mafundisho ya uongo yanayoenezwa na wale wanaofikiri kuwa eti wanazijua SABABU ZA UMASIKINI uliopo kati ya waumini – kati ya ndugu zao katika...
  20. Money Penny

    JamiiForums Tanzania What is LOVE? I am 40 years old na sijui Love ni nini?

    Haya haya sasa, Wale mabachela sugu wamerudi tena Wanawashangaa mnamlalamikia mapenzi Niko na Mwamba hapa oysterbay, senior batchelor ananiuliza Money Penny what is love?! "Love ndio nini? SIJAWAHI kuwa kwenye mahusiano Kwa Miaka 10 sasa na sina stress and I feel line" au nimelogwa?! Haya...
Back
Top Bottom