Muwa ni nini?

Mwanzi na muwa na mtete mi ndugu?
Inaezekana kabisa mkuu sababu ziko aina karibia 21000 za hiyo mimea kama sikosei sababu muwa ni jamii ya mimea mbayo ukiikata inaota tena kwa vimelea kama vipo alafu naona kama mianzi na matete ndio hivyo hivyo….
 
Afadhali maana daaahπŸ™†πŸ™†πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila sio kwamba ndio nanihii, aahh bado, yaani we miezi yoote hiyo kwa siku moja!? Haviwiani, hapa atleast wiki hivi. πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Ila sio kwamba ndio nanihii, aahh bado, yaani we miezi yoote hiyo kwa siku moja!? Haviwiani, hapa atleast wiki hivi. πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Khaaaaah!!
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Habari zenu wakuu?

Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu!

Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au nini?

Asanteni
Muwa ni zao la kibiashara lililopo katika kundi la Mianzi yaani Poaceae family,unachotaka kujua muwa kimatumizi tunaliweka wapi nadhani, kwanza muwa ni zao la muda mrefu aka Perennial crop na linatumika kama ingredient au kinywaji,yaani linakuwa na matumizi mengi mengi.
 
Back
Top Bottom