ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 62 ya Uhuru na 59 ya mapinduzi PEMBA bado ni kitovu cha umaskini Tanzania ; tatizo ni nini?

    Nipo Pemba for the 1st time, nimezunguka hiki kisiwa chote. Naomba nikiri kwamba hali ya kiuchumi huku ni mbaya kuliko unavyoweza kudhania. Hakuna usafiri wakueleweka kama Unguja,. Lakini pia maisha ya wananchi ni duni sana. Hakuna maduka ya bidhaa, hakuna lodge wala hotel zakufikia, hakuna...
  2. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi nini kazi ya akili?

    Kuna kazi nyingine sidhani kama wahusika zilizomo zimo! Ukishuka kwenye usafiri wa umma mbezi mwisho na ikatokea ukawa na kabegi, jinsi ambavyo unadakwa na wapiga debe sio poa! (si mwanaume si mwanamke)! Daaah! Wengine wakiona gari la mbagara wanaanza kugombania abiria wakiwa ndani ya basi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tunaitaji kujua sababu ya Mgao wa Umeme hata kipindi hiki cha mvua

    Kama Mtanzania nayeguswa na jinsi wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme ususani kwenye sekta ya wajasiliamali wadogo ( Welding/wanausika na aluminiam, viwanda vidogo vya kushona, saluni za kike/kiume, wachuuzi wa samaki, na wengine kibao) inatia huzuni kwa kweli. Unajiuliza kweli hii shida...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Makamu wa Rais ni yapi?

    Asalaam Aleykum. Leo nimelazimika kuuliza hili swali maana huwa hata sielewi maana ya hiki cheo kuwepo. Niliwahi kusikia kwamba mojawapo ya majukumu ya Makamu wa Rais ni pamoja na kushughulikia masuala ya mazingira. Sasa kama ni hivyo kweli, na huko Manyara tumepata mafuriko kutokana huenda...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Polisi kumng'ang'ania mtuhumiwa na hali ya kuwa walalamikaji hawana mpango na kesi tatizo ni nini?

    Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani. Sasa changamoto...
  6. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

    Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu. Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nini kilikuvunja moyo ulipofika Dar es Salaam kwa Mara ya kwanza?

    NINI KILIKU- DISAPPOINT ULIPOFIKA DSM KWA MARA YA KWANZA? Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Huenda uligugumia kimoyomoyo na hukumwambia yeyote. Ulijakaza kisabuni ili mwenyeji wako asigundue hila ya moyo wako. Jinsi matarajio yalivyoangusha shukrani zako. Najua. Na kama utanibishia shauri...
  8. Morogoro kaskazini

    JamiiForums Tanzania Wakuu matumizi ya addition assignment (+=) Kwenye JavaScript animation Huwa ni Nini?

    Jamani naomba msaada WA matumizi ya addition assignment kwenye JavaScript animation
  9. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Geita pekee ina upungufu wa zaidi ya Walimu elfu 6 wa shule za msingi

    Ndugu zangu habari. Naleta kwenu mada hii kufuatia takwimu mbalimbali zinazoonyesha kumekuwa na ongezeko kubwa Sana la watu Kanda ya ziwa hususani Mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita, Shinyanga na Simiyu. Kutokana na ongezeko hili kubwa imekuwa ni changamoto Kwa serikali kupeleka huduma za kutosha...
  10. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

    Kwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora. Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao...
  11. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Muwa ni nini?

    Habari zenu wakuu? Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu! Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au nini? Asanteni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno kuokoka?

    Maana ya Kwanza Kuhokoka nikukombolewa kutoka kwenye hatari Matendo ya Mitume 27:41-44 [41]Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi. . [42]Shauri la askari lilikuwa kuwaua...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nikilinganisha mapokezi ya Rais wa shirikisho la Ujerumani na Mfalme wa Uingereza, viongozi wetu hawajiamini. Tatizo ni nini?

    Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya. Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu kama ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

    Naamini hata wewe umeshasikia mtu akiwadiss vijana waishio au wafanyao biashara Makumbusho hasa wale wauza simu. Mitandaoni na mitaani mara nyingi utasikia stori kuhusu vijana wa Makumbusho. What is it with these guys from nakymbusho? Ni uhuni, ulofa, waovyo, utapeli, etc ⁸
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Uchi ni nini?

    Wanajamvi eh! Swali langu naomba kujibiwa hivi nikivaa bukta bila ya shati nitakuwa uchi? Au shati pasipo kuvaa bukta? Nikivaa nguo mwili mzima je, nitakuwa bado nipo uchi? Hivi ni nini hasa uchi?
  16. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

    ...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha mapato cha wana CCM kwani kila nikikutana nao ni kuomba fedha kila wakati!

    Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu. Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi. Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!! Je familia zao wanazihudumia vipi?
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Jua tofauti ya Ugaidi, udikteta na uasi

    Ugaidi ni nini? Ugaidi ni kule kuharibu Mali za watu, kujeruhi na kuua raia wasio na silaha makusud ili kufanikisha malengo ya kisiasa au kimrengo. mfano Al qaida, Harakat Al shababu Al mujhedn Udikteta. Ni kule uongozi unaoshika madaraka mahali kukataa kufuata sheria kwa makusud kabisa, hivyo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Haji Bin Manara. Ni nini Kinamsibu?

    Moja Kati Ya Interviews za ajabu ambazo amewahi kufanya ni hii ambapo amefikia hatua Kusema kuwa Yeye Hawezi tena Kuizungumzia Taifa Stars...! Taifa Stars...! Nini tena atazungumzia? Akaisemee Kenya? Uganda? UK? au USA..? Wapo Watu Wanatafuta nafasi Waizungumzie Nchi yao Kupitia Stars, bado...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
Back
Top Bottom