ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Enyi UTUMISHI, hii Ufasuaji ni nini?

    Nafasi za kazi kada ya Afya kwa sasa zimepitia ajira portal na sio TAMISEMI kama ilivyokuwa awali. Kuna kazi imeandika DAKTARI BINGWA UFASUAJI hii ni nini?
  2. Mto Songwe

    JamiiForums Jeshi letu limetutenga Watanzania

    Jeshi letu limetutenga Watanzania. Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah. Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kama haya ndiyo Mafanikio makubwa ya TP Mazembe kwa Soka la Afrika ambalo Yanga SC bado Wanajitafuta, walichokuja Kujifunza Kwao ni nini / kipi?

    Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe amefika CAFCL Semi Finals mara 19 Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP...
  4. M

    JamiiForums Ni nini hasa kinafanya mtu anabadilika mwili na sura haraka..?

    Wanabodi imekuwa ni jambo la kawaida kupotezana na mtu kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapo kutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano wa sura na mwili kwa ujumla. Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Wazungu wanavyothamini Mbwa kuliko binadamu wenzao, chanzo ni nini hasa

    Jinsi wazungu wanavyowajali Mbwa wanaowamiliki, wakati mwingine ni zaidi wanavyojali binadamu wenzao. Mtu anaweza asiwe anaishi na binadamu mwenzie, lakini anaishi na Mbwa ambaye bajeti yake ya kumtunza inazidi gharama za kuhudumia binadamu maskini walioko mtaani. Huwa najiuliza chanzo cha...
  6. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Upendo ni nini? (Part 1)

    Najiuliza maana ya upendo nini? Mpaka uwe na kingi ndio ushee? Au pesa kipindi michango ya sherehe? Au mzazi anayetamani mtoto uendelee? Ndio maana anakulea ile umlee Inasadikika kuwa upendo wa kweli ni kujali Mama mzazi homa ikikushika tu halali Tabasamu analokupa unaposhika Masarali...
  7. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Kuuliza si ujinga: Tunapokopa kama Taifa, dhamana yetu huwa ni nini?

    Takribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo huandaliwa na Mkopeshaji kwa ajili ya kulinda maslahi yake-urejeshwaji wa mkopo pamoja na faida...
  8. Izato

    JamiiForums Hakuna umeme toka asubuhi, tatizo ni nini?

    Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa. Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa hapo kabla na uongozi wa TANESCO siku ya leo ya tarehe 02-06-2024. Pengine taarifa hiyo imenipita...
  9. A

    JamiiForums Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao msingi wake ni kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu umewavutia watu wengi katika...
  10. Quinton Canosa

    JamiiForums Hivi lengo hasa la kufunga NDOA ni nini?

    Habari za jumapili wanajamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa...
  11. Mr Suprize

    JamiiForums Simu kujirudia kutuma SMS moja tatizo NI nini?

    Naomba msaada simu yangu aquos sense 5g natumia laini ya voda NI week sasa nimtumia mtu SMS may be Habari! Kule nakotuma SMS zinaenda zinaenda zaidi ya 5 Yani inakuwa kama hivi Habari Habari Habari Habari Naona NI Kero nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wanasema hawaoni tatizo kwenye...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero. Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie. Nawasubiria kwenye comments Wadiz
  13. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Chama cha Mapinduzi ni kizuri kama nini! Tuone nini ni nini?

    Na Comrade Ally Maftah Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue niinih ni nini? NIININIH NI! 1. UTARATIBU WA VIKAO VYA KIKANUNI NA KIKATIBA Chama cha Mapinduzi kina utaratibu wa vikao mbalimbali, mambo yake yanajadiliwa kistaarabu na kwa usiri. 2. MATUMIZI...
  14. Lanlady

    JamiiForums Kwa wakazi wa Urambo wanawafahamu hawa manabii, ni nini mnakifahamu zaidi kuwahusu?

    Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
  15. J

    JamiiForums EFD kazi yake ni nini?

    Nimekuwa nasikia watu wakiongea EFD mara TRA wamepiga watu adhabu kuhusu EFD ila sina uelewa wa kutosha sababu mimi ni kweli nanunua bidhaa na kuna wakati napewa hizo risiti wanazosema za EFD na kuna wakati sipewi. Swali langu kwa TRA na wajuzi ni wakati gani hizo risiti zinatolewa na wakati...
  16. Money Penny

    JamiiForums Mapenzi ni nini? Mashangazi mlioko huku nisaidieini maana ya mapenzi, tafadhali!!

    Majuzi tulipokea utambulisho wa mtoto wa kaka, kaleta kijana huyo kila mtu alichokaaaaa Mtoto wa kaka nae ndio wale matajiri waliosomaga ulaya kuanzia sekondari mpaka chuo, ungetegemea alete mzungu, mmarekani mweusi au mwafrika well off but nooo katuletea mbongo, wa bongo, Baada ya kumaliza...
  17. Koschei

    JamiiForums Mwanzo huwa mtamu sana. Sijui ni nini huwa kinavuruga mambo?????!!!!!

    🤔🤔🤔
  18. T

    JamiiForums Night Clubs kufa sio kwa Tanzania tu, Dunia nzima night club culture inakufa kwa sababu kizazi Z hakipendi Clubs

    Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs. Sababu nyingine ni...
  19. D

    JamiiForums Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

    Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge. Vikao vya halimashauri...
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Habari kwenu wanajamii wote. Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali? Mwenye uelewa zaidi na asili ya jina "Machinga" atusaidie.
Back
Top Bottom