Beirut,Lebanon
Mlipuko mkubwa umetokea, Chanzo bado kina utata(Tani 2750 za Ammonium Nitrate au Shambulio?)
MBUZI WA KAFARA:
Meli moja inayomilikiwa na Kampuni kutoka Urusi ikiwa na usajili(Bendera) ya Moldova ilifanya safari September 2013 kutoka bandari ya Batumi, Georgia ikiwa inaelekea...