ngoma

Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu RSA-ANC Ngoma nzito

    Kama mnavyojua ANC ni Chama rafiki wa Chama Chetu. Sasa ni zamu yetu kuwafundisha mautundu ya kushinda Kwa kishindo katika uchaguzi wao wa 2024. Kwa sasa hao ANC wamekabwa koo na DA (Western Cape yote), KwaZulu Natal na Gauteng. Yaan bila pesa kumwagwa huko itabaki Stori.
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tangu zamani najua wazaramo wanapenda ngoma lakini leo ndio nimejionea ngoma zao, kupandisha majini ni ngoma ? kwa ngoma hizi nmeanza kuwaogopa !!

    Ni karibu kila mtanzania anajua sifa ya wazaramo ni kupenda ngoma ila sikuwahi kufikiria kabisa kwamba ngoma zenyewe ndio hizi. Ngoma inayopigwa hapa inaitwa dogori,
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Uzushi na uongo wa Haji Manara kumhusu Fabrice Ngoma

    Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na hizo taarifa ila sikuzifuatilia. Manara mara zote hizo amekuwa anasema alimshuhudia kwa macho yake...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  5. badison

    JamiiForums Tanzania Wikileaks: Nyaraka mpya za siri zimevujishwa. Tanzania & kenya zatajwa. Steve Jobs alikufa kwa ngoma (HIV)

    Jana mtandao wa wikileaks uliachia baadhi ya taarifa za siri kuhusiana na watu maarufu pamoja na Nchi mbalimbali. Mwanzilishi wa kampuni ya apple marehemu Steve Jobs alikufa kwa ukimwi. Mimi ndio maana nikiona mwanamke anatumia iPhones sina muda nae wala simtongozi. Taarifa za siri za serikali...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man City na Liverpool ngoma yaisha kwa sare ya 1-1, Guardiola na Nunes warushiana maneno

    ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad, leo Novemba 25, 2023 Erling Haaland amecheka na nyavu upande wa City dakika ya 27 huku...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

    Wanabodi Huu ni wito kwa Katibu Mwenezi mpya wa CCM, Comred Paul Makonda, kwanza kwa kumpongeza kwa kuifufua hamasa ya CCM kupendwa upya na kukubalika sana kupitia amsha amsha zake za Magufuli type (populist na populism) kila anapopita, tatizo lake ni moja tuu, anaipiga hii ngoma kwa nguvu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hii ngoma ya msanii Diamond iitwayo Pound and Dollars ni rasmi ameanza kurudi kwenye Muziki mzuri

    Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye akili tunaenda kusikiliza.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya mwanauke kukata kiuno au kukatika wakati achezapo ngoma

    Kuuliza si ujinga. Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue. Na mara nyingi wanawavutia watazamaji wengi tu.kuna siri gani ,wataalamu tuelimisheni.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa Bilionea Msuya ngoma nzito

    Mjane wa Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (45) ameieleza Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, jinsi alivyoshiriki katika mgao wa mali za mume wake kwenda kwa ndugu wa Erasto Msuya. Amedai mgawanyo wa mali za marehemu mume wake, Erasto Msuya ulifanyika Februari 2014, ambapo baba na mama wa...
  11. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ningekaa kimya ningekufa nalo: Fabrice luamba ngoma midfilder teacher (airport) mchezaji bora wa super league

    Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst. Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika...
  12. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kati ya 100 kilos ya Ferre Gola VS Associe ya Fally Ipupa ipi ilikuwa na bado ni ngoma kali

    Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola. Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya Associé - Fall Ipupa [Intro] Assoc, associé L'empereur Tchatcho Mbala Kashogi Ba diamants ebele...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

    Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
  14. blogger

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba atuambie anaachia Ngoma Mpya lini! Kiki zilishapitwa na Wakati.

  15. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Muziki wa Rumba ni ngoma gani kalii na album kalii unaikubali kutoka kwa Fally Ipupa

    Album zake ni 1.Tokooos 2.Arsenal de Belles Melodies 3.Droit Chemin 4.Tokooos II 5.Power "Kosa Leka" 6.Control 7.Formule 7. Kwangu album kalii kutoka kwake ni control na ina vibao kama maria na flye ila album zilizo nikosha roho sana yaani kali sana ni Tokooos kuna...
  16. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

    Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi. Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili. Tatu bila ya Tmk wanaume halisi VS Dar mpaka...
  17. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Robertinho hamtaki Ngoma

    "ROBERTINHO HAMTAKI NGOMA " Inaelezwa kwamba Robertinho hafurahii kumtumia Fabrice Ngoma kwenye eneo la kiungo Mkabaji kwasababu sio eneo lake asilia na yeye anataka kiungo mkabaji asilia hivyo amewaambia viongozi wake kama inawezekana wamuuze atafutiwe kiungo mkabaji asilia Hii ni kwasababu...
  18. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Ngoma kali za Rhumba: All the time Old is Gold

    Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati. Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana. 1> Bane by Oliver NGoma 2>Samba Mpangala -Marina 3> Monique Seka -Okaman 4> M. Seka -Adeba 5> O. N'Goma -Fely Etc Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kokoriko ya Paw Fum ni ngoma nzuri sana kwa DJ's wa Pub

    E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa. Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

    Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee. Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu. Kulikuwa na abiria wanne...
Back
Top Bottom