ngoma

Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.

View More On Wikipedia.org
  1. Poker

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

    Binafsi namkubali sana Gregory Isaacs na lile kundi la UB40
  2. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Hii ngoma nzito! Ukraine yashutumiwa kwa mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin

    Urussi wameishutumu Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin nguli wa siasa za kijamaa ambaye ndiye anayeaminika kuchochea vita vya Ukraine, huyu mwamba kama humjui alishawahi kutamka Ukraine inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia ,USA wamempiga ban ya kuingia mataifa ya ulaya na...
  3. ankai

    JamiiForums Tanzania Ushindani kati ya ngoma za Nigeria na ngoma za Kibongo

    Ni nyimbo gani ya kibongo ambayo kwa sasa tunaweza kuishindanisha na Buga ya kizz Daniel katika kipindi hiki ambacho Buga imetoka maana naona wabongo wengi wanalalamika kuwa hii ngoma inapendelewa emu niambie ni ngoma gani ya kibongo tunaweza kuishindanisha na Buga ya Kizz Daniel.
  4. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kila mwanakikundi wa Ngoma kutoka Bagamoyo aliyeenda Marekani kuzindua Royal Tour alipewa Tsh. Milioni 3 kwa siku

    Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku zote walizokuwepo nchini Marekani.
  5. K

    JamiiForums Tanzania NANI ZAIDI? Ngoma Nzito Kwa Mashabiki Yanga

    Yanga Tuna Tatizo? Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki wao ndo wapo dissappointed kwa Kuelekea kutokuwa Bingwa msimu huu. Je Wangekuwa wanaenda kutwaa...
  6. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Director wa hii ngoma nimemkubali

    Angalia utoe marks kwa director wa hii ngoma Dark horse-Katy Perry feat Juicy J, Una views 3,279,761,229
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United 1-1 Chelsea ngoma ngumu, watoshana nguvu

    Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022. Chelsea walianza kupata bao kupitia kwa Marcos Alonso katika dakika ya 60 lakini United walisawazisha dakika...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

    Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani. Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel. Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mwanafunzi wa chuo akiri kuwaambukiza Virusi vya UKIMWI wahadhiri zaidi ya 50

    Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA). Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko. Hii ndiyo Afrika sekta zote ni uozo na tungetaka kusiwe na VETO UN au kama vipi iwe zamu yetu sasa. Pana kitu na Uafrika wetu hakipo...
  10. Bangida

    JamiiForums Tanzania Utamu wa ngoma, uingie uicheze

    Wakuu, kwema? Baada ya muda kidogo wa kuwa guest member na kuona yanayoendelea katika majukwaa mbalimbali, its fair to say kuna mengi nimejifunza na pia kuna mengi ya kujifunza zaidi. Hivyo sasa nimeamua rasmi kuwa member wa JF. Aluta continua.
  11. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani wa Hip Hop/Bongo Flava ambao hujasahau mistari yake?

    JAMANI EEEH. NYIMBO GANI YA ZAMANI YA HIP HOP BONGO FLEVA HADI LEO HAUJASAHAU MISTARI YAKE? MIMI KUNA HII HAPA CHINI YA JCB INAITWA SINA TAXI REMIX. HEBU TILILIKA NAYO HUKU UKITUPA NA WEWE LYRICS ZA NYIMBO UNAYOKUMBUKA HADI LEO. Eni sina, Wamenipukutisha mapene kichina, Usiku wa manane after...
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Polepole Vs Bulembo: Ngoma mbichi

    Tulisema wakimalizana na sisi watageukiana wenyewe kwa wenyewe. Sasa ni vita vya kufa mtu kati ya Polepole na Bulembo, huku kwa mbaaali Nape akitaka kununua ugomvi kwa gharama yoyote Ile. Kumbe Wahuni aliowasema Polepole ni pamoja na Bulembo.....
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ngoma na miziki yote kwa sasa inapigwa Lumumba, Ufipa wamebaki kudemka tu!!

    Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni. Kwa muda mrefu sana majina yaliyovutia mijadala mingi ni pamoja na Samia, Polepole, Nape, Sabaya, Shaka...
  14. Mwagito84

    JamiiForums Tanzania Alinidanganya kuwa mumewe alikufa kwa stroke kumbe ngoma

    NB. Hakuna anayeshare story ya maisha/Mikasa yake kwa nia ya kupata sifa. Kwanza hapa hatufahamiani, Siwezi tafuta sifa kwa watu ambao siwafahamu. Kwa hiyo comment zenu kama mna undugu na Malaika wa pepo au mna connection mbinguni huo ni upumbavu hence unaweza tafuta jukwaa la fellowship...
Back
Top Bottom