ngoma

Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.

View More On Wikipedia.org
  1. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania JINSI 2PAC ALIVYOTENGENEZA NGOMA YA AMBITION AS RIDAH

    Jinsi 2Pac Alivyobuni "Ambitionz Az a Ridah" 😯 "Ambitionz Az a Ridah" ni wimbo wa ufunguzi katika albamu ya nne ya studio ya 2Pac, "All Eyez on Me," iliyotolewa mwaka 1996. Jina la wimbo huu ni mchanganyiko wa maneno unaoonyesha azma ya 2Pac na maisha yake kama "ridah" (mwana mtaa au...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu ya Kiufundi kabisa ya Mavambo kuwa anaanzia Benchi na Ngoma kuanza First Eleven Simba SC

    Nitamuelewa tu Kocha Fadlu kama Wawili hawa wakianza pamoja, ila kwa Mimi GENTAMYCINE huyu Mavambo kuwa anaanzia Benchi kiukweli huwa simuelewi Kocha Fadlu japo namheshimu mno na nakubali Kazi yake kwani mpaka sasa katufanya wana Simba SC tusiwe busy Kutembea na Calculators (Vikokotoo) kujua...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wasanii walioweza kutoa ngoma zilizokimbiza chati zaidi ya miezi 6

    Mr Nice - Kidali Po, Hii Track ilishika kote kuanzia party za watoto, disco, clubs, MAhafali, n.k. huu moto sidhani kama utakuja kufikiwa. ana ana ana dooo kachani ka basto displine matido lalalalalahhh. ×2 Mb Dogg - Latifah, Huyo ndo King wa kubana pua aliewa inspire kina Ali Kiba, Z anto...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na huu ujumbe, vijana kazi ipo

    Hivi Sasa ni mwendo wa kuwindana, kila mtu anakula timing kwa mwenzie. Ila huu ujumbe unafikirisha sana
  5. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Nipo Uganda kuna ngoma ya Harmonize na Pallaso 'Only You' ni hatari

    Aisee sijajua kwanini harmonize hajaifanyia promo hii Collabo yake na huyu mganda ila kwangu naona ndio nyimbo yake Bora aliyoshirikishwa mwaka huu
  6. data

    JamiiForums Tanzania Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

    Yes! No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message. Hii hapa... Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani? And the rest is this thread. Keep it Up
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani!

    Wakuu, Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania waliofanya vizuri zaidi. Kwenye list yao, Spotify wametoa orodha ya wasanii, album na ngoma zilizofanya...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Sina usharika na Joseph Mbilinyi, ila ngoma yake ya Wanakuita Sugu, naweza kumwambia dereva aireplay hiyo ngoma Dar to Dodoma na siichoki

    I love that song badly, but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency. Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ashauriwe apunguze kutuhumu wenzie bila Ushahidi, anagharimu Chama chake kwa kucheza ngoma ya CCM bila kujijua

    Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi hiyo kwa ajili ya Taifa hili. Ila siku za Karibuni ameanza kufanya Siasa fulani hivi za kutuhumu...
  10. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania The power of AI, sasa unaweza kuwa unapata ngoma mpya kabisa za wasanii wako waliokwishakufa

    Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo Technology iko kasi. AFadhali tuendelee kufaidi ngoma mpya
  11. MtamaMchungu

    JamiiForums Tanzania Ngoma mpya Koffi Olomide na Cindy

    Kuna chuma kipya kimedondoshwa na Mopao na "mke" wake Cindy Kwa wapenzi wa Rhumba hii inawahusu Prise en Charge - Koffi Olomide feat Cindy
  12. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Mwingereza Daniel Dubois amtwanga mwingeleza Antony joshua kama ngoma

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU Kwanini waingileza ndo kama wameukamata huu mchezo wa ngumi Ni baada ya hapo jana waingileza wawili kutwangana na mwingeleza mmoja kutwangwa kama Ngoma Huyu Joshua kabla hajapigana nilimpa ushauli nili mfuata inbox huko Instagram nilimpenda sana...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Kiungo Fabrice Ngoma kapigwa Miba na Jamaa waliokuwa Wakimtaka na tukawatekea JNIA au tusibishe Kiwango chake sasa Kimekwisha tu?

    Binafsi ni kama vile simuelewi simuelewi hadi ninaanza kuhisi kuwa huenda hata Inonga kamjaza Sumu za Simba SC.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Master by Thesis or Research only ni ngoma nzito

    Kusoma Master by Thesis ina mfanya mhitimu awe deep zaidi ya aliyesoma Master by course work and dissertation hii ni kwa wa sababu Thesis inakuwa deep and original kwenye eneo la umahiri alilo chagua. Ila kwa bongo itakuchukua kati miaka 3 hadi 5, au hata miaka 7 ndio uweze kuhitimu Master by...
  15. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

    Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake halafu Kaa home sikiliza
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ya uchezaji na midundo inayovutia, hizi ni ngoma za kikabila zilizonivutia zaidi

    1. WAHAYA - Ngoma zao nazielewa sana vile wanavyo tumia miguu kusigina na kutumia viuno na mikono, ni ngoma inayochezesha mwili mzima. 2. WAZARAMO - Napenda zaidi vyombo vya wapiga ngoma, ni vibe la hatari ila kucheza ngoma hakuna mpangilio. 3. WASAFWA - Hawa ni kabila lipo Mbeya, Ngoma zao...
  17. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Imetimia miaka 19 tangu Wasanii wa Bongo Fleva, Complex na Vivian walipofariki dunia mwaka 2005, unawakumbuka kwa ngoma gani?

    Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21 Agosti 2005, wakati wakiwa safarini kuelekea kwenye shoo. Ajali hiyo ilileta huzuni kubwa kwa mashabiki...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Una lipi la kusema kwa ma agent wa Clautos Chama na Fabrice Ngoma kulalamikia timu zao haziheshimu kipengere cha kuwaanzisha first eleven?

    Kumekuwa na mgongano wa maslahi binafsi ya wachezaji na maslahi ya kitimu ndio yanasababisha hizi kelele, Wachezaji wanaogopa sana kuanzia benchi au / na kupewa muda kidogo sababu mikataba ikiisha ni ngumu kupata timu nzuri lakini kocha anaweka maslahi ya timu kupata ushindi mbele zaidi...
  19. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"

    Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma" Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma. Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana Mickyjnr ili amchafue Azizi ki watashindwa hili?! Aziz ki sahivi Yupo moto anauwasha Kila kukicha Huyo...
  20. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hakuna na hakutatokea ngoma Kali ya Hip Hop ya kushirikiana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kuizidi MTAZAMO

    Hii ngoma iliyokutanisha manguli wa muziki wa Rap hapa Tanzania Kwa miaka hiyo kiukweli ilipikwa,ikasukwa na ikasukika ki kwelikweli! Kiukweli ninayo Jeuri kusema ya kwamba "Kama Kuna mtu anadhani Kuna ngoma Kali kuizidi hii naomba aiweke hapa na nitampatia Tsh 100,000/= Hii ngoma iliachiwa...
Back
Top Bottom