Ningekaa kimya ningekufa nalo: Fabrice luamba ngoma midfilder teacher (airport) mchezaji bora wa super league

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
7,621
16,700
Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni

Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst.

Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika Uwanja wa Benjamin Mkapa (Lupaso) nikiwa na mgeni wangu kama mwenyeji wake na Mentor, ninapata madini mengi mno kutoka kwake.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu.

Nilibahatika kuangalia mchezo laikini jicho langu liliamua kumuangalia na kumfuatilia mchezaji mmoja tu.

Nilijikuta siwezi kufanya analysis ya mchezo badala yake nilikuwa nimejikita kumtizama kijana mmoja kutoka Congo Kinshasa Zaire ya Mobutu. Nikimtazama mchezaji mrefu mweupe futi 6.2.

Nilimuona akiwa kiungo, kweli kweli katika ubora wa hali ya juu mno akidhihirisha uwezo wake mkubwa kuwa amecheza Timu kubwa kama As Vita na Raja na Timu ya Taifa ya Congo. Alipiga pass karibuni zote kwa usahihi, na alicover eneo kubwa sana katikati ya uwanja.

1. Uwezo wa kusambaza pasi: Nilimuona Ngoma akiwa na uwezo mzuri wa kutoa pasi za uhakika kwa wenzake, kuendesha mchezo, na kusaidia timu kudhibiti mpira.

2. Uwezo mkubwa wa kiakili na maamuzi: Nilimuona Ngoma akiwa na maamuzi ya haraka katikati uwanja. Akiweza kutumia akili kusoma mchezo na kuchukua maamuzi sahihi kwa kila tendo lake katikati ya uwanja.

3. Uwezo wa Kupiga Mashuti: Nilimuona Ngoma akirotate mpira na kupiga mashuti ya hatari kuelekea lengo la Al Ahly na kuwakosa kosa.

4. Kujitolea kwa Ulinzi: Nilimuona pia Ngoma akidrop down katikati ya walinzi wawili Inonga na Chemalone. kuanzia kuchukua mipira kusambaza pasi nk.

5. Uwezo wa Kukaba na Kuiba mpira: Ngoma pia alionyesha uwezo wa kukaba, kupora mipira, japo si mzuri sana katika hilo. Simba hapa wanapaswa kutafuta Kiungo Mkabaji mwenye uwezo mkubwa atakayekuwa wa kukaba na kuilinda back four yake, na hili ndio eneo linalowaponza zaidi Simba kwa sasa.

6. Ujuzi wa Kimwili na Stamina: Nilimuona pia Fabrice akiwa ametawaka mipira ya juu kama Kanute kuwa na uwezo wa kukimbia kwa muda mrefu uwanjani, kuwa na nguvu za mwili, na kuwa tayari kwa juhudi za kazi nzito.

7. Uwezo wa Kuwasiliana na Timu: Nilimuona pia Midfielder Teacher kwa uwezo mkubwa wa kutoa maelekezo, kuwasiliana na wenzake, kuanzia akina Chama, Inonga, Saido nk.

Hizi sifa zote niliweza kuziona kwa Midfielder Teacher Fabrice Luamba Ngoma.

Baada ya mchezo nikaulizwa huyu kiungo ni Mtanzania kweli? Baada ya kurudi nyumbani dipo nikarudi kwenda kuutazama mpira vizuri, possession mashuti nk.
 
HAKIKA NGOMA ALIIBWA AIR PORT MAIN OF THE MATCH SUPER LEAGUE.
JEJI NO 6 MGONGONI

Baada ya KURUDI nyumbanj dipo Nikarudi kwenda kuutazama Mpira vizuri.
Possession mashuti nk nk
Ushabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira, wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.

Ukitaka kujua udhaifu wake, Simba ikutane na timu inayocheza kwa kasi au wa press kwanzia juu utaona Ngoma anavyogeuka mpoteza pasi na mkosa maamuzi sahihi.

Halafu kwani mashindano yameisha? Kwanini mashindano yanaendelea na wewe umekuja kutoa hitimisho? Umeangalia mechi zote za AFL?
 
Ushabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.

Kwa kuachia mianya then wakaludi nyuma kuziba mianya mnieleweshe alichoandka hapa.
 
Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni

Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst.

Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika Uwanja wa Benjamin Mkapa (Lupaso) nikiwa na mgeni wangu kama mwenyeji wake na Mentor, ninapata madini mengi mno kutoka kwake.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu.

Nilibahatika kuangalia mchezo laikini jicho langu liliamua kumuangalia na kumfuatilia mchezaji mmoja tu.

Nilijikuta siwezi kufanya analysis ya mchezo badala yake nilikuwa nimejikita kumtizama kijana mmoja kutoka Congo Kinshasa Zaire ya Mobutu. Nikimtazama mchezaji mrefu mweupe futi 6.2.

Nilimuona akiwa kiungo, kweli kweli katika ubora wa hali ya juu mno akidhihirisha uwezo wake mkubwa kuwa amecheza Timu kubwa kama As Vita na Raja na Timu ya Taifa ya Congo. Alipiga pass karibuni zote kwa usahihi, na alicover eneo kubwa sana katikati ya uwanja.

1. Uwezo wa kusambaza pasi: Nilimuona Ngoma akiwa na uwezo mzuri wa kutoa pasi za uhakika kwa wenzake, kuendesha mchezo, na kusaidia timu kudhibiti mpira.

2. Uwezo mkubwa wa kiakili na maamuzi: Nilimuona Ngoma akiwa na maamuzi ya haraka katikati uwanja. Akiweza kutumia akili kusoma mchezo na kuchukua maamuzi sahihi kwa kila tendo lake katikati ya uwanja.

3. Uwezo wa Kupiga Mashuti: Nilimuona Ngoma akirotate mpira na kupiga mashuti ya hatari kuelekea lengo la Al Ahly na kuwakosa kosa.

4. Kujitolea kwa Ulinzi: Nilimuona pia Ngoma akidrop down katikati ya walinzi wawili Inonga na Chemalone. kuanzia kuchukua mipira kusambaza pasi nk.

5. Uwezo wa Kukaba na Kuiba mpira: Ngoma pia alionyesha uwezo wa kukaba, kupora mipira, japo si mzuri sana katika hilo. Simba hapa wanapaswa kutafuta Kiungo Mkabaji mwenye uwezo mkubwa atakayekuwa wa kukaba na kuilinda back four yake, na hili ndio eneo linalowaponza zaidi Simba kwa sasa.

6. Ujuzi wa Kimwili na Stamina: Nilimuona pia Fabrice akiwa ametawaka mipira ya juu kama Kanute kuwa na uwezo wa kukimbia kwa muda mrefu uwanjani, kuwa na nguvu za mwili, na kuwa tayari kwa juhudi za kazi nzito.

7. Uwezo wa Kuwasiliana na Timu: Nilimuona pia Midfielder Teacher kwa uwezo mkubwa wa kutoa maelekezo, kuwasiliana na wenzake, kuanzia akina Chama, Inonga, Saido nk.

Hizi sifa zote niliweza kuziona kwa Midfielder Teacher Fabrice Luamba Ngoma.

Baada ya mchezo nikaulizwa huyu kiungo ni Mtanzania kweli? Baada ya kurudi nyumbani dipo nikarudi kwenda kuutazama mpira vizuri, possession mashuti nk.
Mbumbumbu mna taabu sana. Hiyo AFRICN FOOTBALL LEAGUE na si upuuzi huo uliouandika kwenye heading!
Kenge wewe
 
Mchezaji anatathminiwa kwa mechi moja ajabu!

Jipe muda ukwel utaujua vizuri mwanasimba mwenzangu

Kumbuka kesho tupo ugenn Tena uje na tathmin Kama hii tena

Nimeishaweka Madini na kuwapa Kila kitu uongozi na Benchi la UFUNDI. Na nimeanzisha Uzi mnaweza mkapeleka kwenye Groups au kwa VIONGOZI.

Kaka Chema chajiuza KIBAYA chajitembeza, Ukimuona mchezaji mzuri ni Rahisi sana Kujua uwezo wake.

Unaangalia Basics tu 3B( B B B).
Receiving Controlling, passing na position yake.

NI RAHISI SANA KUANGALI UWEZO WA MCHEZAJI NDANI YA MCHEZO MMOJA TU.
 
Covax hii post yako mods wamefuta ,mimi nasimama na maoni yako jamaa ni mdini kupitiliza hata katika jukwaa la sports mada ya kawaida anageuza uwanja wa kukuashifu dini na kujaza maandiko.

Halafu mods wanamuacha ,mimi kila nikiona ID ya huyu jamaa inanijia sura ya jitu la hovyo siwezi kutilia maana I chochote atakacho andika.
IMG_20231023_100649.jpg
 
Ushabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.

Ukitaka kujua udhaifu wake, Simba ikutane na timu inayocheza kwa kasi au wa press kwanzia juu utaona Ngoma anavyogeuka mpoteza pasi na mkosa maamuzi sahihi.

Halafu kwani mashindano yameisha? Kwanini mashindano yanaendelea na wewe umekuja kutoa hitimisho? Umeangalia mechi zote za AFL?

Umeandika kiufundi sana Mkuu.

Sifa ninazompa NGOMA alipokuwa anachukua Mipira CHINI (track back)
Anakaa na Mpira, anawavuta wapinzani Wakienda kumkaba anatoka pass ya usahihi mno (anavisha mistari miwili) kwenda kwa chama au KIBU.

Alikuwa Bora sana kwenye MATUMIZI ya space na time.

Anaudhaifu kiasi kwenye kukaba, timu isipokuwa na mpira, si mzuri sana kwenye Kukaba.

Simba Haina Kiungo mkabaji hata Mmoja.
Mzamiru ni 8,
Kanute 8.
NGOMA NAYE ni 8.10,
 
Mechi ya Simba vs Al Ahly
Ili kujua madhaifu na uzuri wa kiungo unatakiwa uangalie mawili la kwanza ni Simba wakiwa na mpira na la pili ni Simba wakiwa hawana mpira.
1) Simba wakiwa na mpira Ngoma ulikuwa unamuona bora kutokana na aina ya mpira waliokuwa wanacheza Al Ahly wakiwa ugenini. Al Ahly waliwaacha Simba wacheze mpira wao walikuwa wanajilinda. Tafuta mechi ambazo Simba wamecheza na timu zinazokabia juu uone Ngoma anavyokosa uhuru, ufanisi na maarifa.

2) Simba wakiwa hawana mpira
Hili eneo Ngoma ameshindwa kulimudu kwasababu kiasili sio Mkabaji haswa, na mipira ya 50 kwa 50 anashindwa ku win.
 
Ushabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.

Ukitaka kujua udhaifu wake, Simba ikutane na timu inayocheza kwa kasi au wa press kwanzia juu utaona Ngoma anavyogeuka mpoteza pasi na mkosa maamuzi sahihi.

Halafu kwani mashindano yameisha? Kwanini mashindano yanaendelea na wewe umekuja kutoa hitimisho? Umeangalia mechi zote za AFL?
Una akili ndogo! Ndogo Sana!
 
Mbumbumbu mna taabu sana. Hiyo AFRICN FOOTBALL LEAGUE na si upuuzi huo uliouandika kwenye heading!
Kenge wewe
Jaribu kubana mkojo Hadi ufe kwa mateso makali.

Kwanini ufe kwa ajili ya Simba ambayo huwezi kuizuia kwa lolote?
 
Ushabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.

Ukitaka kujua udhaifu wake, Simba ikutane na timu inayocheza kwa kasi au wa press kwanzia juu utaona Ngoma anavyogeuka mpoteza pasi na mkosa maamuzi sahihi.

Halafu kwani mashindano yameisha? Kwanini mashindano yanaendelea na wewe umekuja kutoa hitimisho? Umeangalia mechi zote za AFL?
Jamaa anasemaga yy ndio anaujua mpira vzr mno na aliwashauri simba hawakumsikiliza ,hahahaha
 
Nimemuelekeza na Ameelewa.

Nimemwambia Hivi.

Sifa ninazompa NGOMA alipokuwa anachukua Mipira CHINI (track back)
Anakaa na Mpira, anawavuta wapinzani Wakienda kumkaba anatoka pass ya usahihi mno (anavisha mistari miwili) kwenda kwa chama au KIBU.

Alikuwa Bora sana kwenye MATUMIZI ya space na time.

Anaudhaifu kiasi kwenye kukaba, timu isipokuwa na mpira,
si mzuri sana kwenye Kukaba.

Simba Haina Kiungo mkabaji hata Mmoja.
Mzamiru ni 8,
Kanute 8.
NGOMA NAYE ni 8.10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom