ndugai

  1. Miss Zomboko

    GE2020 Ndugai: Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua Wabunge wote. Hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai. Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye...
  2. Petro E. Mselewa

    Joshua Nassari ataendelea na 'mapambano' yake ya kisheria dhidi ya Spika Ndugai tarehe 30 Sptemba, 2020?

    Nimeona Nyaraka kutoka Mahakama ya Rufani Tanzania kuwa shauri la Madai Nambari 342 la mwaka 2019 kati ya Joshua Samwel Nassari dhidi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganon wa Tanzania limepangwa kusikilizwa mnamo tarehe 30 mwezi Septemba kwama huu. Shauri hilo lililopo Mahakama ya Rufaa ya...
  3. blackstarline

    Spika Ndugai apuuzwe tu!

    SPIKA NDUGAI APUUZWE TU Tatizo la Tanzania ni Bunge kutaka kuwa juu ya Mihimili mingine. Kikatiba, watu wenye akili na mitazamo za kindugai wanatafsiri vibaya, si kwamba kuisimamia serikali ni kuilazimisha kufanya matakwa ya bunge. Kauli ya Spika Job Ndugai kwenye mkutano wa uzinduzi wa...
  4. Return Of Undertaker

    GE2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

    "Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai. #UzinduziKampeniCCM...
  5. S

    Kama katika uongozi wa miaka mitano ya Bunge Magufuli alichoona cha maana kwa Ndugai ni kuundwa Kamati ya Madini tu, basi Ndugai hafai kuwa Spika

    NImeshangaa sana. NImeona upungufu mkubwa kwa upande wa Magufuli, kwamba katika sababu ambazo angependa Ndugai arudi kuwa Spika baada ya uchaguzi, ya maana kuliko zote ni hiyo ya kuunda kamati ya madini. Kwangu ina maana Magufuli kimsingi anakiri kwamba hakuna cha maana alichofanya Ndugai...
  6. Kennedy

    GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  7. mdudu

    Spika Ndugai kumuomba Rais Magufuli ajenge Ofisi za TAKUKURU Kongwa ni sahihi?

    Ndugu wana bodi Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru . Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa...
  8. J

    Cecil Mwambe: Mimi ni CCM mwenzenu nilirudishwa bungeni na Spika Ndugai kuigiza

    Wajumbe waliopiga kura za maoni jimboni Ndanda walimbana vilivyo mtia nia Cecil Mwambe juu ya uhalali wa uanachama wake ikizingatiwa kuwa baada ya kupokelewa na komredi Polepole, Mwambe alirudi tena bungeni kuitumikia Chadema. Mwambe alikiri kurudi kwake CCM na kupokelewa na Polepole lakini...
  9. Erythrocyte

    GE2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

    Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani . Bali...
  10. J

    Ukweli mchungu: Ndugai ameboresha Bunge ndiyo maana watu wanazitema teuzi za Serikalini na kukimbilia Bungeni

    Sikulazimishi ukubaliane na mimi lakini huu ndio ukweli mchungu. Kama siyo ubora wa bunge Prof. Kitila asingeutema ukatibu mkuu wa kusimamia huduma ya maji Tanzania nzima na kwenda Ubungo. Mnyeti na Paul wasingeukacha ukuu wa mkoa ambao wabunge wote mkoani wako chini yako na kwenda majimboni...
  11. Mzukulu

    Je, kwa Ukweli huu Kuntu wa Spika Ndugai lawama zetu tuzipeleke kwa Wabunge husika au Wapiga Kura Wao au Mfumo mzima wa Siasa za Tanzania?

    Ni ukweli usiopingika yapo mambo Watanzania hawayajui, ni kweli baadhi ya wabunge hasa hao wenye fujo, baadhi yao wanatumia dawa za kulevya, bangi na pombe kali. Anakuja pale si yeye, we unadhani ni yeye, kumbe si yeye, kwa hiyo ni tabu. Watu wa namna hiyo ukiwapa kamera ni tabu,- Spika wa...
  12. J

    Je, Job Ndugai bado ni Spika?

    Job Ndugai amehudhuria sherehe za kuvunjwa kwa Baraxa la Wawakilishi kilikofanywa na Rais wa Zanzibar mh Sheim. Ndugai alikuwa amevalia Joho la Spika wa bunge la JMT kama alivyoonekana kupitia luninga ya ITV. Je, baada ya bunge kuvunjwa Job Ndugai anaendelea kutambulika kama Spika? Maendeleo...
  13. Nafaka

    Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

    Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe. Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari. ===== Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
  14. R

    Vexatious, frivolous, scandalous, trivial case against Ndugai and Mwambe

    By any stretch of imagination, kesi hii huwezi kuiweka katika kundi la Vexatious, frivolous, scandalous, trivial case kama ilivyoamuliwa mahakama zetu. (kuna hukumu moja imesema hivyo). Issues raised by the plaintiffs are so obvious hata kijana wa diploma ya sheria kule Institute of Judicial...
  15. jitombashisho

    UTABIRI: Ndugai kuwa Naibu Waziri Mkuu ajaye na Tulia kuwa Spika wa Bunge lijalo

    Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo. Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema. Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa...
  16. J

    Kwanini Spika Job Ndugai ameonyesha kumhofia DC Ndejembi wa Kongwa?

    Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake? Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?! Maendeleo hayana vyama!
  17. Viol

    Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Spika Ndugai amesema haya, Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais Nakumbuka miaka niliyosoma...
  18. Suley2019

    Dodoma: Spika Ndugai amfukuza Bungeni Salome Makamba

    Spika Job Ndugai amemfukuza bungeni kwa siku saba kuanzia leo, Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba (Chadema), baada ya mbunge huyo kulieleza Bunge kuwa marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge yatafanyika kwa matakwa ya Spika, Naibu Spika na watu wao. "Spika Job Ndugai amesema ametumia miaka...
  19. J

    Spika Ndugai: Bunge langu limefanya mambo makubwa sana ikiwemo kupeleka wabunge zaidi ya 70 Misri kuishangilia Taifa stars!

    Spika wa bunge Mh Ndugai amesema bunge lake limefanya mambo mengi makubwa lakini watu hawayaoni tu au hawataki kuyasema na kusifia. Amesema bunge analoliongoza limeweka historia ya pekee tangu bunge hilo liasisiwe ya kupeleka wabunge zaidi ya 70 Cairo nchini Misri kuishangilia timu ya taifa...
  20. T

    GE2020 Rais Magufuli atakavyowageuka CCM, Ndugai hatarudi, nawaambia mnielewe!

    Ninavyomjua Dkt. JPM ni mtu mwenye huruma na pia hupenda kupendwa na kusifiwa. Magufuli hapendi atokeze mtu hata mmoja ambaye huonesha kutopendezwa naye. Ndiyo maana ukimwomba msamaha mnamalizana. Kwangu mimi ukisikiliza sana wote walio upinzani utagundua hata Mbowe mwenyewe hajawahi...
Back
Top Bottom