Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
Screenshot_20200912-204018_Twitter.jpg
 
Lissu naye ana damu eti kwa sababu ni mtihani mkubwa sana ktk maisha ya binadamu kujaribu kumstahi mtu aliyejaribu kukuua.....

Magufuli ndiye aliyeamuru Tundu Lissu auwawe kinyama kwa risasi zaidi ya 16 lakini adhma yake ikawa blocked na Mungu, wakashindwa....

Lakini badala yake wakamsababishia ndugu huyu mateso na maumivu makubwa ya yeye, ndugu na marafiki ikiwemo kumpa ukilema wa maisha...!!

Ktk mazingira haya Tundu Lissu ni mwanaume hasa na anamstahi sana Magufuli kwa kitendo chake hiki kibaya na cha kinyama kabisa...!!!
 
Back
Top Bottom