ndugai

  1. T

    Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

    Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda. Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake. Badala yake watoto...
  2. beth

    Bunge la Tanzania kuanza vikao leo. Spika Ndugai awapongeza wabunge kwa kuuliza maswali mafupi mafupi

    Mkutano wa pili wa Bunge la 12 unatarajiwa kuanza leo Februari 2 hadi Februari 12 mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa ya Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa katika mkutano huo shughuli zitakazofanyika ni pamoja na maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yanayotarajiwa kuulizwa na wabunge. Pia, wabunge...
  3. MtuHabari

    Spika Ndugai na Katibu wa Bunge wapelekwe Mahakamani kwa kutoiheshimu Katiba waliyoapa kuitetea

    Kutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji. Spika wa Bunge Job Ndugai na Katibu wa Bunge wanapaswa kupelekwa mahakamani kama sio leo basi baada ya utawala huu unaowalinda kuondoka madarakani. Sakata la Wanachama wa CHADEMA...
  4. Nyankurungu2020

    Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

    Nimekaa na kutafakari juu ya siasa za Tanzania. Maana ni kama zimekosa muelekeo kabisa Je, ina maana Spika Ndugai na bunge lake waliapisha Wabunge ambao hawajapata baraka ya chama chao kuwa wabunge wa viti maalumu? Kwa nini Spika alijigamba kuwa anawatambua hawa wakina mama wa Chadema ili hali...
  5. J

    Spika Ndugai awaapisha Wabunge wateule wa ACT-Wazalendo. Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

    Tukio liko mubashara TBC Karibu. Updates; Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai. Walioapa 1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe 2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde 3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete 4. Salum...
  6. E

    Ushauri kwa Wabunge chini ya Spika Ndugai na Naibu wake Tulia Ackson

    Kwa heshima kubwa naleta ushauri huu kwenu, nikiwa kama BUNGE ni chombo au ni sauti ya watanzania walio zaidi ya milioni 50. Bunge ni chombo kinachojitegemea ambacho kinatakiwa kuisimamia Serikali, hivyo Bunge lina nguvu yakikatiba kutetea wananchi wake ambao ni wakulima na wafanyakazi. Mwaka...
  7. J

    Nguvu ya Job Ndugai ilivyowasambaratisha Prof. Assad, Makonda, Tundu Lissu, Mbowe na Mpina!

    Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua. Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful. Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa...
  8. Wakusoma 12

    Spika Ndugai anasema hawezi kuwafukuza bungeni Wanawake kwa maana dunia itamshangaa; lakini hashangai Serikali kuwafukuza shule wanawake

    Wakuu amani iwe nanyi Mwendelezo wa mtifuano mkali, CCM sasa inamtetea mwanamke kwa kila namna. Ni hivi: Jana spika Job Ndugai alisema kuwa hawezi kuwafukuza bungeni wale akina mama kwa sababu dunia nzima itamshangaa kwa kuwafukuza wanawake bungeni na hali hiyo itapelekea yeye binafsi...
  9. J

    Je, kufuatia utetezi wa Spika Ndugai kwa wabunge wa Chadema kuna haja ya wabunge hao kukata rufaa baraza kuu kudai Uanachama!

    Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia. Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa...
  10. Replica

    Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dkt. Tulia Ackson ambaye ameelezea umuhimu wa Bunge kuwa karibu na...
  11. Mystery

    Ndugai avuliwe U-spika wa Bunge, kutokana na kuikanyaga Katiba ya nchi kwa kung'ang'ania kuwakumbatia wabunge wa viti maalum wa Chadema

    Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii. Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo. Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
  12. J

    Spika Ndugai: Uingereza kuna Mbunge aliapishiwa hospitali akiwa amelazwa na "bahati" mbaya alifariki bila kwenda Bungeni

    Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha. Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka. Kumbe...
  13. Mzalendo2015

    Spika Ndugai aburuzwe Mahakamani kwa kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sakata linaloendelea kati ya Spika Ndugai, CHADEMA na wale Wabunge 19 waloapishwa kinyume cha Katiba ni aibu kwa Tanzania. Ili kukomesha huu upuuxi wa Spika Ndugai CHADEMA lazima ifungue kesi Mahakamani haraka sana ili sheria ichukue mkondo wake. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko...
  14. kmbwembwe

    Spika Ndugai, kinachotakiwa ni kufuata katiba sio hisia zako

    Nimekusikia Spika Ndugai ukisema kina Mdee, Bulaya na matiko wameteseka kwa ajili ya Mbowe halafu Mbowe anawafanyia hiyana kwa kuwafukuza chama ili watoke bungeni. Eti Mdee alivunjika mkono kwa kumtetea Mbowe. Nimeshangaa sana huo uzalendo wa hao kina mama inawezekana ni kwa mahaba ya mapenzi...
  15. Malima Chacha

    Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

    Kufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na Chadema Kumeibuka kundi la watanzania wakipinga suala hilo. Binafsi ningependa kuwaambia...
  16. Chagu wa Malunde

    Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

    Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba. Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo...
  17. The Palm Tree

    VIDEO: Sakata la Halima Mdee na wenzake 18 waliokuwa wanachama CHADEMA kufutiwa uanachama; Je, kuna anayemwelewa Spika Ndugai hapa?

    Mengine yaliyopita yote tunayaelewa... Hapa nimerudia kumtazama na kumsikiliza mara mbili tatu, sijafanikiwa kumwelewa kabisa. Kwangu mimi namuona kama mtu aliye "so desperate and confused". Hajali sheria wala taratibu ama katiba ya nchi tena... Spika Ndugai na wenzake huko CCM chini John...
  18. M

    Nashangaa wanawasonga tu hawa 19 yule mmoja wamemgwaya? Alisema Spika Ndugai

    Akizungumza baada ya kuwaapisha wabunge wateule, Spika Ndugai amekemea vikali watu wanaodharau shughuli zinazofanywa na Bunge la Tanzania. "Wako rafiki zetu ambao hivi karibuni wamejipambanua kwa kukejeli shughuli za bunge, niwatahadharishe na kuwakumbusha labda wamesahau kuwa ni jambo...
  19. Mystery

    Spika Ndugai hana mamlaka ya kupinga maamuzi halali yaliyofanywa na Kamati kuu ya CHADEMA

    Nimeshangazwa sana na kauli aliyotoa Spika Ndugai hivi leo, wakati akiwaapisha wabunge wapya Humphrey Polepole na yule mwanamama Riziki Lulida, kuwa wabunge wa kuteuliwa na Rais katika zile nafasi zake 10 alizopewa kwa mujibu wa Katiba Spika Ndugai amenukuliwa akisema kuwa hatambui maamuzi...
Back
Top Bottom