Spika Ndugai kumuomba Rais Magufuli ajenge Ofisi za TAKUKURU Kongwa ni sahihi?

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
6,954
9,857
Ndugu wana bodi

Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru .

Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa upitishaji wa bajeti hiyo tena kwa kishindo .

Je, kulialia mbele ya Raisi na kuomba ajengewe Ofisi, ni sahihi? Raisi anapata wapi Bajeti na fedha za kujenga Ofisi Kongwa? Je Raisi ndiye anayepanga bajeti ya Serikali? Je yeye Sipika na ni Mbunge wa Kongwa hakujua mahitaji ya ya Ofisi katika wilaya yake katika kipindi chote akiwa madalakani ndiyo ameyajua sasa? Je fedha Raisi atazipata wapi na bajeti imeshapitishwa?

Karibuni.
 
Kuna kila dalili ya spika mpya kuletwa ukiachana na Ndungai
 
Wagogo mi huwa siwaelewi. Hivi kwa nini mkoloni akajengo hospitali ya Vichaa Dodoma?
 
Wagogo mi huwa siwaelewi. Hivi kwa nini mkoloni akajengo hospitali ya Vichaa Dodoma?
Mie nadhani ili vichaa kote nchini wakutane ktkt ya nchi.

Kama ambavyo serekale nayo imeamua kuhamia dodom.

Huyu jamaa sijui mgogo gani anashindwa kuwa kama bwana John.
 
mkuu,mleta mada ndio tumuulize hili swali,mimi kwa upande wangu sijahisi kuna ubaya ila nimesema tu kwamba wanajuana
Ameleta maada yeye kamaliza.kufikia hadi una comment means maada umeielewa vzuri.

Umeeambia ndugai kaomba kwa sababu kongwa hakuna ofisi kubwa na nzuri ya takukuru.lkn mkurugenzi kuomba ofisi ijengwe Chato.huko chato tayari ofisi IPO na ya ni nzuri ya ghorofa...kunakujuana apo?
 
ooh sasa nimekuelewa,umenielewa vibaya,kujuana ninakokusema mimi ni kwamba its up to them,sijamaanisha kama ulivonielewa mkuu
 
Kwani za miradi kurupushi yake huwa bajet Yake inapitishagwa na nani?
Ununuzi wa ndege? Uwanja wa chato? Za kugawa barabarani? Na mwisho kwa umuhimu za kuhonga wabunge na madiwani waunga juhudi? MUNGU ISAMEHE TANZANIA
 
Unaongelea kwa mfumo wa swali jambo lilulokwisha kuchukuliwa maamuzi kwenye kikao?
Umesikua kabisa....'msijipendekeze'.... 'mjipendekeze kujenga Chato nikiwa nimeacha uraisi'....'hizo fedha mlizotaka kujenga ofisi ya Takukuru chato kajengeni ofisi ya Takukuru Kongwa'.....
Inamaana maneno hayo wewe mleta mada haukuyasikia?
Iweje uje na swali la kizushi namna hii?
 
Mkuu siyo swali la kizushi,maana yake ni kwamba, hiyo bajeti iliyopitishwa,ujenzi wa Ofisi ya Kongwa haikuwemo,kama Kongwa ilikuwemo,Raisi asingesema zikajenge Kongwa na badala yake angesema zikafanye kazi zingine za maendeleo na wala tusingejua kama Kongwa hawana Ofisi kama Bunge lingekuwa linaisimamia Serikali.
 
Hapo siyo suala la bajeti tena bhana.
Bajeti ilikwishatolewa kujenga ofisi ya Takukuru Chato, sasa hapo wana divert kutoka Chato kwenda Kongwa.
 
Back
Top Bottom