UTABIRI: Ndugai kuwa Naibu Waziri Mkuu ajaye na Tulia kuwa Spika wa Bunge lijalo

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
219
500
Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.

Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.

Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa ndoto yako ambayo inaenda kuwa ya kweli katika majukumu yako mapya ya kuwa Spika ajaye wa bunge letu Tukufu.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,118
2,000
Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM Katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.

Kwa hivyo kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.

Na kila lililo la kheri mwana dada Tulia kwa ndoto yako ambayo inaenda kuwa ya kweli katika majukumu yako mapya ya kuwa Spika ajaye wa bunge letu Tukufu.
Ndugai anapaswa kukamatwa na kujibu tuhuma nyingi za uvunjifu wa haki na sheria bungeni.
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,313
2,000
Kipindi cha Mrema Lyatonga wakati wa awamu ya pili, mzee wa kufunga magoli katiba ilikuwaje?
... walimvika "kilemba cha ukoka" naye kichwa kikavimba; I am sure hakupewa barua yoyote ya uteuzi kwenye hicho "cheo" zaidi ya maneno ya kisiasa. Bahati nzuri cheo kilichokuwa kinamlipa mshahara ni uwaziri wa mambo ya ndani na ndio maana siku za hivi karibuni baada ya choka mbaya amekuwa akilialia eti akumbukwe japo kifuta jasho kwa kile cheo feki. Lakini utata unakuja, alipwe kwa kifungu kipi? Hakipo!
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,031
2,000
Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.

Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.

Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa ndoto yako ambayo inaenda kuwa ya kweli katika majukumu yako mapya ya kuwa Spika ajaye wa bunge letu Tukufu.
Naibu waziri mkuu?
 
the truecaller

JF-Expert Member
May 8, 2019
852
1,000
Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.

Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.

Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa ndoto yako ambayo inaenda kuwa ya kweli katika majukumu yako mapya ya kuwa Spika ajaye wa bunge letu Tukufu.
ID yako inatosha!
FB_IMG_1592137524831.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom