Je, Job Ndugai bado ni Spika?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,661
2,000
Job Ndugai amehudhuria sherehe za kuvunjwa kwa Baraxa la Wawakilishi kilikofanywa na Rais wa Zanzibar mh Sheim.

Ndugai alikuwa amevalia Joho la Spika wa bunge la JMT kama alivyoonekana kupitia luninga ya ITV.

Je, baada ya bunge kuvunjwa Job Ndugai anaendelea kutambulika kama Spika?

Maendeleo hayana vyama!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,042

Kama Mwambe amemaliza akiwa mbunge, basi na yeye bado ni Spika... Stupid Lawlessness shithole country!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
32,053

Tena hata ukimpekua mfukoni utamkuta na ajenda ya kumuongezea Magufuli muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.
 
Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
2,483
2,000
Tatizo watu wengi hamjui kua tuanaongoza kwa kutumia makubaliano ya 1977 subiri mpate Katiba.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom